Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee dada madesaa si nilishaacha tokaa mwaka jana August.
Sahivi naburuzwa na Wachinaa huku site, nomaaaaaa
Kupambania tonge kugumuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜ƒπŸ˜ƒWasijichanganye watakuta kokoto zimerudishwa zilikotoka πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Wee dada madesaa si nilishaacha tokaa mwaka jana August.
Sahivi naburuzwa na Wachinaa huku site, nomaaaaaa
Kupambania tonge kugumuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio field huko
Yaani ni moto juu ya moto
Kuna dogo mmoja analialia anasema field hawapumziki.

Ila bora mchina kakupunguza Kasi jf maana khaah
 
Kalpana Weee nimeona yaani ni mapacha kabisa. Nikashtuka nikajua yangu haijafutika tena πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… uko vizuri sana shape, miguu, sura yaani warembo wa JF ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Yaani mululeπŸ”₯πŸ˜€πŸ˜€
Au mapacha nyie!?πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Nilijua tu wote wakali wazuriπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Ila mzee wa hall V, mbonaa case hii?
Muulize huyu min -me yeye ndo anaweza kukupa jibu sahihi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui umewazaa nn, Lol
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…