Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
I can't imagine ladha yakeJuice napenda sana, nikiwa na muda najitengenezea nikiwa kwenye kageto kangu.
Hii ilikua maziwa, parachichi na ndizi.
View attachment 3106187
π₯ππ₯°Looo hongera sn
I miss you Tayana....Pichaaaa mselfke jmn
Jamani miss you zimepishana njiani it must be LOVE β€οΈMiss u @ Joannah
Hakika π₯°Jamani miss you zimepishana njiani it must be LOVE β€οΈ
Shem nimekuita sana uone balaa la Kapeace sijui ulikuwa wapi? πππKama sikosei, ukifuta post aliye quote nae akifungua haifunguki. Kwa ushauri wangu, kama unawasiwasi na picha unayoituma, ni vyema usiiweke kabisa. Na hasa hasa kama unaroho nyepesi. Hapa ndani tuna watu wa Kila aina kama ambavyo tunaishi nao mtaani, Kuna waungwana, wastaaeabu, wagomvi, wababe, wasioeleweka, wenye stress na Kila aina unayoifaham. Hatujawahi Ina mtu anakujibu jeuri au anakua mkali kama kifaru na unastaajabu kipi kimempata? Ukiwazingatia, unapunguza siku za kuishi.
Nnaongea maneno mengi kama Lamomy (ila huyu nae haishi kufurahisha, kiuhalisia anaweza kuwa sio muongeaji sana ila machachari yake Yana PhD).
Nilichotaka kusisitiza, post picha ambayo chochote kikitokea, haitakusumbua. Chochote kinachoenda mtandaoni, kinakupa nje ya udhibiti wako. Hapa unawasihi walio quote wafute, wengine tayari wamesha Danrod wanazo. Kikubwa watu wawe wastaarabu tu.
Hello tajirii πAhsante sana kwa ushauri huu mzuri Mkuu The Monk Nitaufanyia kazi. Ni kweli ukiweka isipokaa muda mrefu inafutika. Niliweka moja nikawahi kufuta, hata walioquote ikafutika kwenye quote zao. Shida naona ikikaa dakika nyingi, itafutika kwako, kwenye quote picha inakutolea macho π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Ile picha haina madhara, nimeiziba sana π π π .
Lamomy anatufurahisha humu ana pacha nkamu wake Saint Anne basi mbavu hatuna kwa maneno yao.
Uwe ma asubuhi njema. Kumekucha...
πππ Tuyaache hayo NkamuNkamu group gani hilo
Mbona nimepitwa
Kapeace namba ulimpa shemeji? πNipo hapa nataka nifanye songesha, naomba namba ya wakala tugawane lunch.
Dah! Nimesikia vumbi lake tu kwamba mwendo wa chombo ulikua wa kutosha japo sikulishuhudia kwakweli.
Nimefika haya selfika boss mwenye mshepu wake πππSelfika ππππππ inachomaaaaa
Nimeshawamiss Saint Anne na Lamomy Nianze kucheka. Japo babe wangu ananichekesha huku.
Chino mbona hutaji zawadi eeh? Au unaona aibu hapa? π
Huyo mgonjwa atakua keshapona, ilikua apate matunda na sharubati.Shemeji anataka namba aweke mtonyo acha kelele kwanza πΉ