Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

adoption hunakuwa una uchungu nae sana ujue dam nzito kuliko maji ee mtoto wa kumzaa ni mtamu sana ukimuona unafarijika sana haswa afanane na wewe ukiwa unamuangalia unasema nimejizaaa au akifanana na baba watoto wako ukimuona unafarijika sana

hawa wa adoption labda umchukue akiwa kichanga lakin akijitambua anakuwa shida first hujui history ya familia alio tokea ipoje na wengine asili yao aiwaachi inawafwata unakuta ukoo wake una.asili ya uchawi so ni hatari some how
Hiyo theory yako sii kweli mtoto awezi kujua vitu vya past kwenye familia yake bali anajifunza kwenye familia iliyopo present, hakuna mtu mwenye uwezo wa kuona past wazazi wake walikuwaje ili aige tabia
 
Hazitaki hizi mbichi shangazi
Kama vipi rudi tu Nkamu umpe kampani.

Sisi team shangazi tunaamini
Shangazi atarudi Kwa kishindo kama awamu ya sita,kujibu yale mapigo ya kina Bantu
😂😂😂
Mimi team shangazi na lazima kombe tuchukue, ana pic yake ile ya suti ya kitenge akitupia hapa lazima kina bl na kapeace wapoteane 🤣🤣🤣

Team shangazi to ze mullahaa 🤸‍♂️
 
unaelewa maana ya
Hiyo theory yako sii kweli mtoto awezi kujua vitu vya past kwenye familia yake bali anajifunza kwenye familia iliyopo present, hakuna mtu mwenye uwezo wa kuona past wazazi wake walikuwaje ili aige tabia
kurithi? mtoto yoyote yule anakuwa na natural behavior from the original familiy
 
Wewe kumbe kiazi, aliyekwambia mtoto ukimzaa mwenyewe kwa uchungu ndio atakuwa mtakatifu Nani??
Huyo unayezaa naye vipi km naye kwao wachawi?

Nyie ndio mnashindwa hata kusaidia ndugu zenu kwa “umimi” mnajijali wenyewe.!

Mimi nitaadopt mtoto yoyote ninayemtaka, tena uzuri wabongo wengi koo zetu zina umaskini wa kutupwa. Hivyo hata mtoto wa ndugu nitamchukua..!
Mimi nitakusaidia tu mbegu za raisi na rubani tena mapacha wa nne

Cc Madame B
 
wla sio
Wewe kumbe kiazi, aliyekwambia mtoto ukimzaa mwenyewe kwa uchungu ndio atakuwa mtakatifu Nani??
Huyo unayezaa naye vipi km naye kwao wachawi?

Nyie ndio mnashindwa hata kusaidia ndugu zenu kwa “umimi” mnajijali wenyewe.!

Mimi nitaadopt mtoto yoyote ninayemtaka, tena uzuri wabongo wengi koo zetu zina umaskini wa kutupwa. Hivyo hata mtoto wa ndugu nitamchukua..!
selfish ila mara nyingi unaangalia na background ya wqzaz ndio maana Zaman watu wakitaka kuoa lazima Watchung uzee familia sio kama sasa waty wanaokotana tu teyar family inaundwa
 
unaelewa maana ya

kurithi? mtoto yoyote yule anakuwa na natural behavior from the original familiy
Yes, mfano rangi, sura, urefu, unene nk lakini sio matendo au tabia sasa mtoto anawezaje kuona past ambayo hakuwepo? Mtu yoyote anajifunza present mda aliopo na watu na mazingira kama unabisha mchukue mtoto wa kisukuma asiye jua kiswahili wala kingereza mpeleke Akakulie USA je mtoto akikuwa atakuwa amejifunza kisukuma au kingereza?

Vitu ambavyo atakuwa navyo kutoka usukumani labda ni rangi, sura unene, nywele nk lakini sio tabia
 
😂😂😂
Mimi team shangazi na lazima kombe tuchukue, ana pic yake ile ya suti ya kitenge akitupia hapa lazima kina bl na kapeace wapoteane 🤣🤣🤣

Team shangazi to ze mullahaa 🤸‍♂️
Bado ile akiwa laboratory anachanganya kemikali
Awee
Ngoja aje atupie na dread zake kama hajagumua bado
 
wla sio

selfish ila mara nyingi unaangalia na background ya wqzaz ndio maana Zaman watu wakitaka kuoa lazima Watchung uzee familia sio kama sasa waty wanaokotana tu teyar family inaundwa
Una mawazo ya kijima.
Kipindi cha zamani watu walikuwa wanaishi hawatoki kwenda mikoa mingine, hata wewe ss hivi ukiambiwa uchaguliwe mume utakubali?! 😹
 
Bado ile akiwa laboratory anachanganya kemikali
Awee
Ngoja aje atupie na dread zake kama hajagumua bado
Shangazi battle anashinda mapema kabisa 😂😂

Kuna ile nyingine ya tight nyeusi ya nyavunyavu awwwhh 😜
Iko moto balaa, bado ile ya mtandio

Team shangazi ushindi wetuuuuh 😹
 
Shangazi battle anashinda mapema kabisa 😂😂

Kuna ile nyingine ya tight nyeusi ya nyavunyavu awwwhh 😜
Iko moto balaa, bado ile ya mtandio

Team shangazi ushindi wetuuuuh 😹
Akitupia hizo halafu akajibinua kidogo
Mapema sana kombe ni lake

Sijui Yuko wapi jamani Shangazi alete mambo
Camera ya ukungu hajale wala nini
 
Back
Top Bottom