Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
uyo dada nae taka kuozeshwa mama yake alikuja nyumban so akasema tuunganishe undugu kwasababu ninyi ni wakalimu sana hasa mwanao wa kiume kampokea mwanagu vizuri sana uyo mtoto wake alikuja arusha so nikiwa mweneyji wake akaa miezi 4 so sijui qliongea nn na mama yake ila ndio kuambiwa mama yake anataka nimuoe bintie mama kakubali so wanasubiria jibu langu
Kazi huna wanakutafutia mke 😂😂😂
Hao wazazi wako wapimwe mkojo