Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
Hiyo theory yako sii kweli mtoto awezi kujua vitu vya past kwenye familia yake bali anajifunza kwenye familia iliyopo present, hakuna mtu mwenye uwezo wa kuona past wazazi wake walikuwaje ili aige tabiaadoption hunakuwa una uchungu nae sana ujue dam nzito kuliko maji ee mtoto wa kumzaa ni mtamu sana ukimuona unafarijika sana haswa afanane na wewe ukiwa unamuangalia unasema nimejizaaa au akifanana na baba watoto wako ukimuona unafarijika sana
hawa wa adoption labda umchukue akiwa kichanga lakin akijitambua anakuwa shida first hujui history ya familia alio tokea ipoje na wengine asili yao aiwaachi inawafwata unakuta ukoo wake una.asili ya uchawi so ni hatari some how