Sasa hadi wanaume wanafunga pm?? Wanaficha nini? Wanawake sawa tena inatakiwa yawepo makomeo ya kutoshaThe Monk fungua pm chap, unaomba namba halafu unafunga pm namna gani tajiriiii ππ
Tajiri muaminifu bana hataki hekaheka atakufungulia ukatulie peke yako piemuni mahi.!! Wale wa kuacha pm wazi wengi fisi maji πΉπΉπΉ Mje mniue niko bonyokwa
Ila nyinyi watu, mbavu zangu jamani. π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ mna nini lakini? Sijui maneno yanatoka wapi? Halafu wachochezi hao πππππ π π π hatuselfiki leo ππππHivi Bantu ana haja ya Tiz kweli!?
Asituangushe
Tunasubiri picha
Comedian wake tumefikaπ₯
Bantu Lady
Pole nakuja kukuona mgonjwa, mi nilikuwa nauza vijora kwanza⦠leo nipo mwingi..!
Weka namba The Monk asababishe unywe ceres π
Naleta yangu very soon. Kaa tayari..Eeh selfika pameanza kuchangamkaπ
Picha tafadhali
Huyo mkinga kwenye hela simuaminiπ πView attachment 3107447
Tufanye hivi, wewe utampelekea mgonjwa, ujumlishe mauzo ya vijora na mie nilizopata kwenye kuuza madafu nikukabidhi...mambo yasiwe mengi.
Shemeji mimi sina pesa, mtaji wenyewe wa vijora wa elfu 50 sasa nikitoa si nimefirisika π€£π€£π€£View attachment 3107447
Tufanye hivi, wewe utampelekea mgonjwa, ujumlishe mauzo ya vijora na mie nilizopata kwenye kuuza madafu nikukabidhi...mambo yasiwe mengi.
πππ tatizo sina pesa mahiHuyo mkinga kwenye hela simuaminiπ π
Wana wa Israel ni kukaa nao kitaalamu sana πππWanasemaga eti huwa wanajikumbushia kumbushia wasije kusahau kutongozaπ π π wanaume ni waongo hatari
Na kazi ya uchawa unaijua! Mi nilijua anatania siku ile ujue hebu ngoja nikafungue mlangoπππ tatizo sina pesa mahi
Wewe Chukua pesa kwa shem unirushie bando chawa wako
Kwanza nile nishibeEeh selfika pameanza kuchangamkaπ
Picha tafadhali
π€£ππSasa hadi wanaume wanafunga pm?? Wanaficha nini? Wanawake sawa tena inatakiwa yawepo makomeo ya kutosha
Huyo tajiriii Hana konakona kanyooka ohh π€£π€£Na kazi ya uchawa unaijua! Mi nilijua anatania siku ile ujue hebu ngoja nikafungue mlango
Ni nani huyo ? π€£πMtoto maku sana yule kidogo tu anaomba picha za dusherere.
Vibomu sasa maninah zake sana
Vin mambo, dollar inasomaje wiki hii mtaani?Ni nani huyo ? π€£π
Dada yako yupo ?Anashauri watu wasishinde online yeye anashinda.
Dollar zimeshuka euro zipojuu pamoja na pound ya uingerezaVin mambo, dollar inasomaje wiki hii mtaani?