Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Sasa hadi wanaume wanafunga pm?? Wanaficha nini? Wanawake sawa tena inatakiwa yawepo makomeo ya kutoshaThe Monk fungua pm chap, unaomba namba halafu unafunga pm namna gani tajiriiii 😂😂
Tajiri muaminifu bana hataki hekaheka atakufungulia ukatulie peke yako piemuni mahi.!! Wale wa kuacha pm wazi wengi fisi maji 😹😹😹 Mje mniue niko bonyokwa