Selfika na JF: Snap it. Show it

Tumempambania sana Shangazi huyo
Sisi ndio majeshi yake ya faraja kipindi amebwagwa
Ila shangazi jamani mpk nimechukiwa na waasi kwaajiri yake… 😂😂

Na mimi hii tabia ya kununua kesi ss hivi niache, nshakula ban nyingi kumkingia kifua shangazi.. nilimsaidia mpk kumfukuzia babu miga na mabakuli 😹😹😹
Ila kipindi kile nilikuwa mcharuko km nimetiwa petrol shangazi ilitakiwa anipe NSSF zangu 🤣🤣🤣
 
Tatizo labda muamala haisomi.

Wewe tuma muamala just Kwa bahati mbaya... Uone watakavyo jaaaa
Hahaha...........Mwaka 47 niliwahi kupigwa na kitu kizito kupitia njia hiyo...

Unajua Wazee tukishashikwa ni wepesi sana kumwaga Salio, sasa kuna mmoja nilimpaga Kadi akatoe za kutumia Mwaka 47.

Si akahamisha mzigo wote kwenda kwenye akaunti yake 🙌

Kutokea hapo nikasema bora baridi liniue tu 😜
 
🤣🤣🤣Umenishinda tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…