Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Shangazi anipe NSSF zangu 😹😹🤣🤣🤣Umenishinda tabia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shangazi anipe NSSF zangu 😹😹🤣🤣🤣Umenishinda tabia
Kabisa Mzee mwenzangu, ukiomba namba ya muhusika Vijana wetu humu hawachelewi kusema tunawaibia dogodogoSie wazee hatutaki mambo mengi, namba ya wakala tu...sio namba ya muhusika. Ndio Raha ya utu uzima...
View attachment 3107570
Mwambie shangazi aniombee niolewe niwe busy na mume apumue 😂😂😂Ngoja tujiandae na kipindi Cha komboa familia Cha buldozer. Tuzidi kujizingiti na dada angu.
Utawani mahi 😂😂Jmn nimecheka Leo🤣🤣🤣utawani🙌🙌
Ngoja aje sijui ana utetezi gani, yani itabidi nikague pm za wakaka tunaokutana kutana humu,Huyo Mzee mwenzangu ikifika usiku kama hivi anafunga kufuli, pamoja na kwamba tulipita wote jeshini Mwaka 47 amekuwa mwoga kidogo Kwa Wageni 😜
Haya utanikuta nakusubiri getini 🤗
Hey Anna….salama kabisa!Ngabu
How are you?
Tumemiss selfie zako
Mmeanza kuturusha roho na miamala 😂😂Kama upo around nipe namba ya Wakala Mjukuu 🤗
Umezima ndoto zake kirahisi mno😁Duh kitambo ngoja tumuite
Omulasil unaitwa
Ila shem kwa wanaume hapa selfika namba moja yako uko very smart,
Mh handsome 🤩
Mnatakiwa muwe kama zamani mtoto mzuri.Mwambie shangazi aniombee niolewe niwe busy na mume apumue 😂😂😂
Hii picha irudie kuna kitu nataka kuona 😂😂
Alishamaliza zoezi la kufyeka mapori?Anazuga 😂😂
Kitu gani? Ndevu?Hii picha irudie kuna kitu nataka kuona 😂😂
Anilipe mafao yangu kwanza 😂😂😂Mnatakiwa muwe kama zamani mtoto mzuri.
Mfukie makaburi yenu ya nyuma.
Maisha yenyewe haya mafupi sana. Tupendane.
Halafu wanaokumbukwa ndo wanapataga nyingi ujue kuliko wale wanaopewaMmeanza kuturusha roho na miamala 😂😂
Tayana-wog babu akikutumia na mimi unikumbuke
🤣🤣🤣 Nkamu em niache kwanzaAlishamaliza zoezi la kufyeka mapori?
😂😂😂😂😂😂Anilipe mafao yangu kwanza 😂😂😂