Shangazi anipe NSSF zangu πΉπΉπ€£π€£π€£Umenishinda tabia
Kabisa Mzee mwenzangu, ukiomba namba ya muhusika Vijana wetu humu hawachelewi kusema tunawaibia dogodogoSie wazee hatutaki mambo mengi, namba ya wakala tu...sio namba ya muhusika. Ndio Raha ya utu uzima...
View attachment 3107570
Mwambie shangazi aniombee niolewe niwe busy na mume apumue πππNgoja tujiandae na kipindi Cha komboa familia Cha buldozer. Tuzidi kujizingiti na dada angu.
Utawani mahi ππJmn nimecheka Leoπ€£π€£π€£utawaniππ
Ngoja aje sijui ana utetezi gani, yani itabidi nikague pm za wakaka tunaokutana kutana humu,Huyo Mzee mwenzangu ikifika usiku kama hivi anafunga kufuli, pamoja na kwamba tulipita wote jeshini Mwaka 47 amekuwa mwoga kidogo Kwa Wageni π
Haya utanikuta nakusubiri getini π€
Hey Annaβ¦.salama kabisa!Ngabu
How are you?
Tumemiss selfie zako
Mmeanza kuturusha roho na miamala ππKama upo around nipe namba ya Wakala Mjukuu π€
Umezima ndoto zake kirahisi mnoπDuh kitambo ngoja tumuite
Omulasil unaitwa
Ila shem kwa wanaume hapa selfika namba moja yako uko very smart,
Mh handsome π€©
Mnatakiwa muwe kama zamani mtoto mzuri.Mwambie shangazi aniombee niolewe niwe busy na mume apumue πππ
Hii picha irudie kuna kitu nataka kuona ππ
Alishamaliza zoezi la kufyeka mapori?Anazuga ππ
Kitu gani? Ndevu?Hii picha irudie kuna kitu nataka kuona ππ
Anilipe mafao yangu kwanza πππMnatakiwa muwe kama zamani mtoto mzuri.
Mfukie makaburi yenu ya nyuma.
Maisha yenyewe haya mafupi sana. Tupendane.
Halafu wanaokumbukwa ndo wanapataga nyingi ujue kuliko wale wanaopewaMmeanza kuturusha roho na miamala ππ
Tayana-wog babu akikutumia na mimi unikumbuke
π€£π€£π€£ Nkamu em niache kwanzaAlishamaliza zoezi la kufyeka mapori?
ππππππAnilipe mafao yangu kwanza πππ