Selfika na JF: Snap it. Show it

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nkamu
Kwa mafao nadhani mimi nimekuzidi aiseee
Nkamu hapana mi nimefukuza mpk babu miga na mabakuli wabishi wale..! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya waasi miaka nenda rudi alikuwa anachuana nao lkn wapi?!! Mi nimefika nimetimua wote… na shemeji nimemrudisha famchezo 🀣🀣🀣

Mafao yangu makubwa hata shangazi analijua hilo
 
Nkamu
Sisi tulikuwa naye bega Kwa bega wakati anapambana kurudisha majeshi
 
Imeisha hiyo, huyo mbabu mwambie mi nafunga kabla ma πŸ• hayajaingia🀣🀣🀣🀣 The Monk
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Monk ameanza lini utapeli
Yani nilivyompigia debe mpk umefungua pm halafu hajakutafuta kweli? 😹😹😹
 
Nkamu
Sisi tulikuwa naye bega Kwa bega wakati anapambana kurudisha majeshi
Nyie mlikuwa mnaplay team zote πŸ˜‚πŸ˜‚
Mi nilisimama naye mpk kamrudisha sele kwapani..!
Nipewe mafao yangu kwakweli 😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…