πππ Shangazi yangu kasema mshahara bado haujaingia soon tutacheka nkamu.!Muombe
Hana baya tajiri.
Shangazi yeye ndio amegoma mazima kutupa mafao
Pisi zinawalalamikia mnashinda sana Pm bila faida yoyote.
Mshahara si umetoka juzi tu Nkamuπππ Shangazi yangu kasema mshahara bado haujaingia soon tutacheka nkamu.!
NSSF zetu tutapata tu.!
Basi tujiandae kumwagika mavouchaaa.! πMshahara si umetoka juzi tu Nkamu
Shangazi anatuangusha
Shangazi anapita kama hatuoni vileπBasi tujiandae kumwagika mavouchaaa.! π
Auntie njoo bana wewe ndo boss hapa selfika
We nitakupa ikiwa ya motoooUnanipa ikiwa ya moto au unaipooza kabisa? π€£π€£π€£
Kuliko mtu kuja pm kila siku kunisalimia zile za uko poa, mambo na nambie bora tuzifunge tu, kukaushana mate kujaza pm zisizo na maana,Pisi zinawalalamikia mnashinda sana Pm bila faida yoyote.
Mtu last seen April 25, ila Pm yuko live mpaka sasa!!
π€£ππKuliko mtu kuja pm kila siku kunisalimia zile za uko poa, mambo na nambie bora tuzifunge tu, kukaushana mate kujaza pm zisizo na maana,
Nna simu kimeo sana, inatoa picha mbovu mnoππHivi lini utaselfika shemegi?
Tuma tu hivyohivyoNna simu kimeo sana, inatoa picha mbovu mnoππ
Kwa Tyson aliogopaπThubutuuu, mwenzio Tyson alipapaswaa paja, wee ungeshikwa wapiii?
Utasema mwenyewee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππKabisa Mkuu, wanasema vyakale dhahabu π€
Kila la heri Mkuu kwenye mapambano
Umri huo ndiyo wakati wa kukimbizana na maisha ili msije kuwa kama Wazee wenu hapa tunaishi kwa hisani ya mia mbili mbili za Wajukuu tu, hadi hela za kuvutia Kiko tunasubiri kupewaπππΆπΆπΆ
Bantu Lady huyu usije kumpa hata vocha ya jero. Please please usije kumpaNiombee na mimi kwa boss Bantu Lady πππ
Mana una roho mbaya utanisagia kunguni kwa boss
Mpaka ninunue simu picha za humu ni KaliπTuma tu hivyohivyo
Mbona shangazi ana kimeo, ila anaselfika hivyohivyo hajaree wala nini
haha tanabainisha wajaje vijanaKuliko mtu kuja pm kila siku kunisalimia zile za uko poa, mambo na nambie bora tuzifunge tu, kukaushana mate kujaza pm zisizo na maana,
Iphone ya Lamomy si ipo?Mpaka ninunue simu picha za humu ni Kaliπ