Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Niombee na mimi kwa boss Bantu Lady πππBantu Lady mbless huyu dada yangu mtumishi hanaga kweree, utabarikiwa zaidiπ
Mana una roho mbaya utanisagia kunguni kwa boss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niombee na mimi kwa boss Bantu Lady πππBantu Lady mbless huyu dada yangu mtumishi hanaga kweree, utabarikiwa zaidiπ
Boss nasubiri vocha yani kweli auntie hii hutaki kupiga comeback mpambe wako nifurahi πUmeanza lini kuogopa kuselfika kwani???
Tupia hizooo hizoo Mimi sijaona foro zako zote uzoweka humu !
Wifi @aliyaah hujapost mkono wa kaka kweli wewe? ππShangazii huu mkono wa naniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Boss nasubiri mtaji mimi vocha sitaki, naomba mtaji wa vijora tajiriiii πΉπππππππ mrembo wangu Saint Anne umeanza π π π π π π haya Amina napokea IJN.
Achana naye huyo babu yy gari lake liko wapi? π€£π€£Si unajua Mimi umri umeenda, nipo naendesha gari yangu ya Mwaka 47, Land Rover 110 π
Kwema lakini Mkuu, kitambo sijakuona humu π€
Lady πAchana naye huyo babu yy gari lake liko wapi? π€£π€£
Nkamu kwahiyo mimi zangu ziko wapi? π€£π€£Bantu mitano tenaπ₯π₯π₯π₯
Tajiri kacheka
Tajiri katema mgodi
Naweka vocha hadi Voda wanauliza
Ndugu mteja,niwe wewe kweli?
Ila wifi ko umeamua kupost mkono wa bro π€£π€£π€£Kapeace Leo nimejitahid kuchagua km ulivonielekezaπView attachment 3111610
Tatizo lako mahi wangu jeuri unavijibu vibabu majibu makali mpk wanakuogopa πΉπΉπΉUkishaona mtu anajiita mzee sijui babu tayari ni alert ya uoga hiyo,
π π π nimepunguza jeuri mdogo mdogo wataacha kuniogopaTatizo lako mahi wangu jeuri unavijibu vibabu majibu makali mpk wanakuogopa πΉπΉπΉ
Wewe endelea kuwa jeuri utawapata kina Mwachi na mshamba uanze kupiga kelele na vitoto ππ
Sio kupunguza acha kabisa kina grand-papa hawapendi kupandishwa visukari gulu πππ π π nimepunguza jeuri mdogo mdogo wataacha kuniogopa
π€£π€£π€£Dawa Yako inachemkaπ€£π€£π€£ Umefika wapi na korosho zangu?
Babu kasema uende likizo, sijui shule mnafunga lini?! π€£π€£
Wangu my Wii sema tu umekomaa na hiv sifug kucha sipaki hata rangi ndo kabisa ππIla wifi ko umeamua kupost mkono wa bro π€£π€£π€£
Wakinga tumependwa kokote tunapostiwa, wifi kalewa penzi la kina Sanga Family oyoooooo..!!! π€ΈββοΈπ€£
Unanipa ikiwa ya moto au unaipooza kabisa? π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dawa Yako inachemka
Kwamba mi mkono ww Kaka angu siujui? πππWangu my Wii sema tu umekomaa na hiv sifug kucha sipaki hata rangi ndo kabisa ππ
At least nikipaka Hina ndio unajulikana Kwa mbali kama mkono wa mwanamke View attachment 3113346 ππ
Nkamu haukuwepo hii sikuNkamu kwahiyo mimi zangu ziko wapi? π€£π€£
Yani kwenye vocha umenitenga, ila kusifia tuko pamoja?!! πΉπΉ
Ila wambea sisi hatupendani π€£
Tena mimi niliweka msisitizo ziwe za voda na halafu nimekosa.!! Acha nimsubiri shangazi anibless
π π π akinifia kesi kwako! Maana hiyo kisukari na presha ikipanda ndo basi tenaSio kupunguza acha kabisa kina grand-papa hawapendi kupandishwa visukari gulu ππ
Babu Grahams kasema week-end muende akakuonyeshe ofisi za Afro Shiraz zenziberi, jioni mkale urojo π€£π€£
πππ Haya boss aje anipe mtaji mieNkamu haukuwepo hii siku
Tulikuwa na Coca.
Kumbuka zile za mwanzo tuliomba Kwa shangazi Mkemia
Ila hizi tumeomba Kwa Bantu BMoney.
Ila hana baya tajiri.
Muombeπππ Haya boss aje anipe mtaji mie