Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
🤣🤣🤣🤣Kumbe wote Cheka2 tunaiweza😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Kumbe wote Cheka2 tunaiweza😂😂
Thubutuuu, mwenzio Tyson alipapaswaa paja, wee ungeshikwa wapiii?Mimi Kama Tyson, atakutana na kitu kizito[emoji23]
Tajiriiii uwe unanibebaaa km chawaa, huenda nikajipatia sponsor hapo.The View [emoji7]View attachment 3112352
Kabisa Mkuu, wanasema vyakale dhahabu 🤗Hata 110 zipo zilikua upgraded huwa ni noma sana hazishikiki😂
Nipo aisee
Nakumbuka vizuriiiii ulivaa kanzu yako moko matratra sana😁!Haha una kumbu kumbu ilikuwa Eid eh
Alafu walimu hamzeeki nini Siri mnywani
Haha we mwenyewe uzeeki mnywani! ngongingo linazidi nawili ilo halipungui.Nakumbuka vizuriiiii ulivaa kanzu yako moko matratra sana😁!
Weee itakua tichas wa zamani mnywani sio kwa Hivi vichwa vya madogo wa sikuhizi kizazi cha dot com mbona unazeeka hata kabla ya miaka 40 walai kuna vichwa ni zaidi ya viazi 😁!
Don't underestimate the power of camera ya my ki itel batan mnyaniiii 😄😄!Haha we mwenyewe uzeeki mnywani! ngongingo linazidi nawili ilo halipungui.
Ulinibania mticha yule
Kwenye swala la kuona nyinyi kwa nyinyi maticha mpo vizuriDon't underestimate the power of camera ya my ki itel batan mnyaniiii 😄😄!
Ulizubaa yule Keshaolewa saii analea kachanga seemnywanii !
Afu ni mpole ametulia kinoumaaa 😊
Babu mjukuu wako niko kwenye rozali napumzika ukorofi, 😜Umeanza lini ukorofi Mjukuu 😜
Jiandae kesho nikutumie zako 🤗
Mpe huyo huyo mi naumwa babu 😹Mwambie aje mwenyewe nimpatie 🤗
Babu Tayana kasema anaomba ruhusa aje, wewe unafanya mazoezi kwema?!! 😹😹😹🤸🏋️🏋️
Nishasahau chinno 😹Ni whatsap nikusaidie kukisema hapa
Nakuja mahi 😹[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umaliziee na PM kwangu,
😹😹😹😹Rudi inbox tafwazaliiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]