Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata 110 zipo zilikua upgraded huwa ni noma sana hazishikiki😂

Nipo aisee
Kabisa Mkuu, wanasema vyakale dhahabu 🤗

Kila la heri Mkuu kwenye mapambano

Umri huo ndiyo wakati wa kukimbizana na maisha ili msije kuwa kama Wazee wenu hapa tunaishi kwa hisani ya mia mbili mbili za Wajukuu tu, hadi hela za kuvutia Kiko tunasubiri kupewa😜🙌🚶🚶🚶
 
Haha una kumbu kumbu ilikuwa Eid eh

Alafu walimu hamzeeki nini Siri mnywani
Nakumbuka vizuriiiii ulivaa kanzu yako moko matratra sana😁!

Weee itakua tichas wa zamani mnywani sio kwa Hivi vichwa vya madogo wa sikuhizi kizazi cha dot com mbona unazeeka hata kabla ya miaka 40 walai kuna vichwa ni zaidi ya viazi 😁!
 
Haha we mwenyewe uzeeki mnywani! ngongingo linazidi nawili ilo halipungui.

Ulinibania mticha yule
 
Haha we mwenyewe uzeeki mnywani! ngongingo linazidi nawili ilo halipungui.

Ulinibania mticha yule
Don't underestimate the power of camera ya my ki itel batan mnyaniiii 😄😄!

Ulizubaa yule Keshaolewa saii analea kachanga seemnywanii !
Afu ni mpole ametulia kinoumaaa 😊
 
Don't underestimate the power of camera ya my ki itel batan mnyaniiii 😄😄!

Ulizubaa yule Keshaolewa saii analea kachanga seemnywanii !
Afu ni mpole ametulia kinoumaaa 😊
Kwenye swala la kuona nyinyi kwa nyinyi maticha mpo vizuri

Hamnaga mchezo idara hiyo
 
Umeanza lini ukorofi Mjukuu 😜

Jiandae kesho nikutumie zako 🤗
Babu mjukuu wako niko kwenye rozali napumzika ukorofi, 😜
Hizo zawadi ww mpe tayana aniletee.!
Huyo ntazipata bila kwere
 
Nje ya mada; sharing is caring

WIKI YA WANANCHI WAZEE WENYE FURAHA

PUNGUZA:
Chumvi.
Sukari.
Unga uliokobolewa.
Bidhaa za maziwa.
Bidhaa zilizochakatwa.

VYAKULA VINAVYOHITAJIKA:
Mboga za majani;
Mbegu za mikunde;
Maharage;
Karanga;
Mayai;
Mafuta yaliyosindikwa baridi (Mizeituni, Nazi, …);
Matunda.

MAMBO MATATU UNAYOPASWA KUJARIBU KUSAHAU:
Umri wako.
Mambo ya zamani.
Malalamiko yako.

MAMBO MUHIMU UNAYOPASWA KUTHAMINI:
Familia yako;
Marafiki zako;
Mawazo yako chanya;
Nyumba safi na ya kukaribisha.

MAMBO MATATU YA MSINGI UNAYOPASWA KUJIFUNZA:
Daima tabasamu / cheka.
Fanya mazoezi ya mwili mara kwa mara kwa kasi yako mwenyewe.
Angalia na kudhibiti uzito wako.

MTINDO WA MAISHA MUHIMU SITA UNAYOPASWA KUFANYA:
Usisubiri hadi uwe na kiu kunywa maji.
Usisubiri hadi uchoke kupumzika.
Usisubiri hadi uwe mgonjwa kufanya uchunguzi wa matibabu.
Usisubiri miujiza kumwamini Mungu.
Usipoteze kamwe kujiamini.
Kaa chanya na daima tumaini kesho bora.

KAMA UNA MARAFIKI KATIKA UMRI HUU (47-90 MIAKA), TAFADHALI WATUMIE HII.
WIKI YA WANANCHI WAZEE WENYE FURAHA
 
IMG_8901.jpeg
 
Back
Top Bottom