Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuliko mtu kuja pm kila siku kunisalimia zile za uko poa, mambo na nambie bora tuzifunge tu, kukaushana mate kujaza pm zisizo na maana,
Yaani ni kero balaa.
Mtu cha maana hana, salamu ndefu kama sijui kitu gani.... halafu sasa bora wangekuwa na ishu za maana, yaani ni mambo?, upo?, nakuona jukwaani, za wapi?,.... siku hizi uko kimya sana 🤬🤬🤬🤬.
Yaani mtu asikuone umecomment mahali, huyoooo 🏃🏃🏃anakuja pm!!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mnataka piem tuongee nini zaidi ya Salam nakujuliana Hali??

Tukiwaaa approach mnatutoa ngeu...

Tukiwaambia weka namba mtumie pesa mnaogopa🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mnataka piem tuongee nini zaidi ya Salam nakujuliana Hali??

Tukiwaaa approach mnatutoa ngeu...

Tukiwaambia weka namba mtumie pesa mnaogopa🤣🤣
Wa kutuma pesa wako wapi?😏
Labda waliojiunga jana, ila nyie minyapara ya miaka na miaka....thubutuuuuuuu!!!!

Kweli sio wote mawinga, wapo wenye shida kweli kweli na lazima wamuone mtu pm, tatizo mnajiharibia wenyewe kwa wenyewe....mna-screenshot maongezi, kisha mnaanza kuzitembeza kwa wengine
Au mnaalika wengineo kwenye maongezi yenu...for what 🤷🤷?
Nagongelea msumari,🔨🔨 hakuna kufungua pm!!
 
Back
Top Bottom