Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha nawashangaa sana mnaoniitaga mpole, roho yangu inanishuhudia kabisa mi sio mpoleHahahahaha binti mpole Kama wewe unaanzaje kufunga piem??
Picha tutatumaje SASA?
Watutongoze na tuwakatae hapa hapa nani anataka kukaushwa mate!🤪Yaani ni mwendo wa "hapahapa jukwaani".....haendi mtu Pm hapa.
Mpaka wanyooke....😂😂😂
Usijali we nenda kuna mchongo nausikilizia hapa, trust me hata kesho inaweza isifike.Unanisingiziaaa,
Kuna mchongo nausikilizia"😂😂😂😂😂!Usijali we nenda kuna mchongo nausikilizia hapa, trust me hata kesho inaweza isifike.
Karaqhabao
Shemelaa nani kakuteka
Kabla hujaliwa sharti uwe umekula kwanza hiyo ndio kanuniUsijali we nenda kuna mchongo nausikilizia hapa, trust me hata kesho inaweza isifike.
Karaqhabao
Maisha 😵😵😵Shemelaa nani kakuteka
Mpige game moja mi refa, dawa za presha si unazo babu tatizo liko wapi? 🤣🤣🤣Hahaha..........mwambie Uzee dawa, tunaweza kumshinda adui hata kama bunduki zetu hazitoi risasi 😜
😹😹😹 vdjondcdiccrcfjb….. au basiHahaha..............amenambia yeye anaendesha Toyota Prado TX ya Mwaka 2022
Nimemwambia mkija kutusalimia Likizo ya Mwezi December aje mnipe lifti kidogo 😜
Usiniambie mdogo wako ushampea mwingine.Maisha 😵😵😵
But, wait...
Shemeji bila mhusika?🤓