Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Amejua Wazee hatuna madhara, lakini nimemuomba aniletee Kiko hii ni wiki ya 6 sasa hataki hata kuja 😜🏋️🏋️
🤣🤣🤣 kapeace week ya 6 babu anakusubiri akupe urithi wa mashamba unambwela?
Ngoja wajukuu wengine wawahi shauri yako.!!
 
Eeeh umepigaje hapo, dubai ya dubai au ya kimara bonyokwa!!!
Halafu wewe kumbe babu unamsikia kwa mbali, huyo ndo Don JF nzima shauri yako utapishana na gari la mshahara..! 😜

Babu anagawa ticket za flight km una ndinga lako unapewa pesa ya mafuta full tank 😹😹😹

Dubai nnayo tena babu Grahams kumuonyesha jeuri huyu em mpe laki ya vocha aache dharau 🤣🤣🤣
 
Shem siku hizi kapoa kweli..! Itakuwa shangazi kamlisha limbwata 🤣🤣🤣

Pesa zetu hatulipwi nakwambia, tutafute mwanasheria atusaidie hivi hivi hatutoboi 😹
Watulipe kwanza kabla hawajapoa.

Hivi humu hakuna mwanasheria kweli?
 
Watulipe kwanza kabla hawajapoa.

Hivi humu hakuna mwanasheria kweli?
Wakibariki ndoa ndo tumekwisha nakwambia 😂😂😂

Ngoja tuongee na kibatala atusaidie au Tito Magoti hizi pesa shangazi must alipe asitutanie 😹
 
Wakibariki ndoa ndo tumekwisha nakwambia 😂😂😂

Ngoja tuongee na kibatala atusaidie au Tito Magoti hizi pesa shangazi must alipe asitutanie 😹
Hivi wanabarikia kanisani au msikitini?
Tukomae kwanza na Sele,Amsaidie Shangazi kulipa haya malimbikizo.
 
Halafu wewe kumbe babu unamsikia kwa mbali, huyo ndo Don JF nzima shauri yako utapishana na gari la mshahara..! 😜

Babu anagawa ticket za flight km una ndinga lako unapewa pesa ya mafuta full tank 😹😹😹

Dubai nnayo tena babu Grahams kumuonyesha jeuri huyu em mpe laki ya vocha aache dharau 🤣🤣🤣
😂😂😂afanye niuone huo mkono wa bwana sio kwa masifa haya
 
Hivi wanabarikia kanisani au msikitini?
Tukomae kwanza na Sele,Amsaidie Shangazi kulipa haya malimbikizo.
Hapo sijui itakuwa ya kiserikali 😂

Hapa wa kukomaa naye ni sele, shangazi anajiona kamaliza hawezi kutusikiliza mahi.!
 
Back
Top Bottom