Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani ni kero balaa.
Mtu cha maana hana, salamu ndefu kama sijui kitu gani.... halafu sasa bora wangekuwa na ishu za maana, yaani ni mambo?, upo?, nakuona jukwaani, za wapi?,.... siku hizi uko kimya sana 🤬🤬🤬🤬.
Yaani mtu asikuone umecomment mahali, huyoooo 🏃🏃🏃anakuja pm!!!
Kazi yao kubwa ni kutuchosha na kutukera, tu bora kuwafungia mlango
 
Wa kutuma pesa wako wapi?😏
Labda waliojiunga jana, ila nyie minyapara ya miaka na miaka....thubutuuuuuuu!!!!


Kweli sio wote mawinga, wapo wenye shida kweli kweli na lazima wamuone mtu pm, tatizo mnajiharibia wenyewe kwa wenyewe....mna-screenshot maongezi, kisha mnaanza kuzitembeza kwa wengine
Au mnaalika wengineo kwenye maongezi yenu...for what 🤷🤷?
Nagongelea msumari,🔨🔨 hakuna kufungua pm!!
Hatufunguiiiiiiii yani mpaka wakome hizo mambo wakaambiane wao kwa wao
 
Back
Top Bottom