Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama unazichakata za watoto wa wenzio.

Kaa tiyari kwa kuchakatiwa tu mkuu.

Haha Iko hivo siku zote
Unajua fika jinsi umri wangu ulivyosonga, lakini bado umeamua kunipa habari mbaya Mkuu 🙆🙌

Btw tangu nianze maisha na Bibi yenu Mwaka 47, sijawahi kuchakata zingine 🤗
 
Asalaam aleykum babu!

Haunapo kafoto Karibu hapo unibles Usiku wangu ukuwe mzuri zaidi??🤔🤔

Kitambo sanaaa hujatupia granpa
Panapo Majaaliwa, kesho nitaiweka hapa.

Kwasasa nipo napambana na foleni za Mjini Mjukuu
IMG_20241004_172913_524.jpg
 
Kaka utatuua Kwa presha.

Yaan ukianza kuwaza moments tuliwapitisha watoto WA watu na wakwangu apitishwe nguvu zianisha gafla

Tutulisha tubu na kuomba msamaha Kwa yeye aliye juu.

Zambi zetu hawazirithi
😁😁😁😁😂😂😂😂!

Mkuki kwa nguruwe

Wacha nanyie vijana wawachakatie binti zenyuu ili akili iwakae sawa 😂😂😂😂!

Kama unavomfumua Binti wa mwanaume mwenzio ndio nawenyu watafumuliwa hivooohivooo!
 
Kaka utatuua Kwa presha.

Yaan ukianza kuwaza moments tuliwapitisha watoto WA watu na wakwangu apitishwe nguvu zianisha gafla

Tutulisha tubu na kuomba msamaha Kwa yeye aliye juu.

Zambi zetu hawazirithi
Na nukuu tu baadhi ya aya za Allah tabarak llah mkuu


Ukila mke wa mtu jua mungu naye lazima akulipe, wako naye atatafunwa Iko ivo.

Wanasema malipo ni hapa hapa duniani.
 
Na nukuu tu baadhi ya aya za Allah tabarak llah mkuu


Ukila mke wa mtu jua mungu naye lazima akulipe, wako naye atatafunwa Iko ivo.

Wanasema malipo ni hapa hapa duniani.
Mkuuu siku moja tuliomgozwa sala ya toba kuomba toba ili haya yote tulip yatenda yafutwe.

Kwakweli Mungu afute asije kutulipia

🙌🙌🙌🙌
 
Yaan tumezeeka. Na ukishakuwa na vibinti inapaswa upumzike kabisaa na hizi Fujo.

Sema vibinti vya elf2 vina mitihani saana
Sahihi kabisa

Unaweza kumwomba dawa zako za Presha katikati ya mchezo, yeye akahisi umemwambia akae woman on top

Kuja kutahamaki, wanakukimbiza Mhimbili Kwa tatizo la Presha 🙌
 
Back
Top Bottom