We rangi yako ya kitanga flani hivi na kiumbo flaaan kiportable ubaki hivyo hivyoNapenda rangi kama yako hii kama tubadilishane vile, safi sana uko vizuri miili wapendayo wazee
Kuna rangi za kitanga kumbe! Nitajitahidi kubaki hivyo lakini sio rahisi hasa wanawake kila p inakuja na badilikoWe rangi yako ya kitanga flani hivi na kiumbo flaaan kiportable ubaki hivyo hivyo
Wakola waituMuwe na weekend njema wapendwa!
Mrare unono π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π€π΄π€π€π€π€π€
Wazee tumeshaamua, bila mahari ya milioni kadhaa hawakung'oi nyumbani π€
ππππKuna rangi za kitanga kumbe! Nitajitahidi kubaki hivyo lakini sio rahisi hasa wanawake kila p inakuja na badiliko
π€£π€£π€£Wazee tumeshaamua, bila mahari ya milioni kadhaa hawakung'oi nyumbani π€
Mnywani...Muwe na weekend njema wapendwa!
Mrare unono π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π€π΄π€π€π€π€π€
ππ€£WazeeNapenda rangi kama yako hii kama tubadilishane vile, safi sana uko vizuri miili wapendayo wazee
Kumbe nimepitwa na rangi ya Kitanga Mzee mwenzangu πWe rangi yako ya kitanga flani hivi na kiumbo flaaan kiportable ubaki hivyo hivyo
Usituangushe Wazee wako ππ€£π€£π€£
π₯π₯π₯π₯π₯
Aya savaa π€Kumbe watu mpo mnapita kimyakimya π€£π€π€
Ndo hivyo tuoneni tu mabadiliko ni kila mwezi, mwezi huu utqnenepa kiasi, mwezi ujao utapata chunusi, mwezi unaofata ngozi itafubaa unaofata ni kisirani.....maisha yanasonga tukiwaombeni hela mtupe tuππππ
Mmmh kumbe....
Si hawana nguvu za kubebelea mizigo, basi wanapenda viportable balaaππ€£Wazee
π€£π€£Fundi Gani tena
Huyo Mzee mwenzio kachanganya mafaili π€£π€£Kumbe nimepitwa na rangi ya Kitanga Mzee mwenzangu π
Sijawahi kubahatika kumuona huyo Mjukuu pamoja na kushinda mara nyingi kwenye huu Uzi
Kapeace fanya kutupia japo moja Babu yako nivae miwani haraka kukuona π€
Si hawana nguvu za kubebelea mizigo, basi wanapenda viportable balaa
π€π€£π€£π€£She's Beautiful indeed!
Mnywanii atakua ametingwa na weekend labdaa
Mnywani werrrayyyyuuuuuuuu unapitwa na watoto wazuri hukuuuuuπ£οΈπ£οΈπ£οΈ