Wacheki pia Isamilo busHiyo mizigo kuna dogo anatoka nayo boarder Tunduma sasa inatakiwa aitume Mwanza, nimeumiza kichwa sipati jibu..!
Dah.! Sijui ntafanyaje hao katarama na premier nilitaka uzoefu wao, mana kampuni zingine zinapoteza mizigo ya watu.
Kwahiyo saiv hauna chekelea tenaNi waoow basi mahi ππ
Nilifungiwa na mwebrania wangu π€£π€£
Babu kwenye ndege gharama kubwa πΉπΉWacheki pia Isamilo bus
Au kama una haraka, pakia kwenye ndege kesho saa 6 Mchana utakuwa umefika, iwapo wakapakia kesho na ndege ya asubuhi kabla ya ku-connect na ndege ya DSM - Mwanza
πππ Bado kidogo kabakiza chacheKwahiyo saiv hauna chekelea tena
πππ Hapa kimenileta hiko cha kutuma parcel nisingekuja, jana nilikuwa busy jikoni mahi nimetengeneza had juisi za mwebrania πΉBora uendelee kufungiwa niitie mwebrania
Mfate huko huko ndani ya bus km hataki kushuka πππHahaha............niko namsubiri hapa stendi π€
Nikuchangie ngapi?Babu kwenye ndege gharama kubwa πΉπΉ
Au nichangie basi babu π
Ngoja niwacheck hao Isamilo
Hahaha......ngoja nifanye hivyoMfate huko huko ndani ya bus km hataki kushuka πππ
Babu huyu lazima umpate kwanza pisi ya moto hii kuikosa ni sawa km hujaizunguka dunia πΉπΉπΉHahaha......ngoja nifanye hivyo
Kwahiyo ndo umekuja kuzimalizia kwanguπππ Bado kidogo kabakiza chache
Wewe em tulia kwanza babu anakuzoom mbona uheshimu wazee?? π€£π€£π€£Kwahiyo ndo umekuja kuzimalizia kwangu
Wee huogopi? Mjukuu tu naulizwa nichangiwe ngapi? Itakuwaje kwa bibi mwenyewe πΉπΉAaah wajukuu mnafaidi kuliko bibi zenu
Hii kazi unaiweza wewe uliyenishawishi mimi kutuma picha humu aaah hapana ππWee huogopi? Mjukuu tu naulizwa nichangiwe ngapi? Itakuwaje kwa bibi mwenyewe πΉπΉ
Mahi hebu mpelekee babu ugolo avute kwenye kiko yake ππ
πΉπΉπΉ Ugwee nkamuSema Lamomy yupo ngangari
Mnawezana
πππ Mpelekee babu ugolo, ila mahi twende mbele tusirudi nyuma UMESIMAMAHii kazi unaiweza wewe uliyenishawishi mimi kutuma picha humu aaah hapana ππ
Wewe ndo unafanya nikose vocha za maboss humu, sa mi nna michongo na pesa gani? πΉπππππ
Mnapeana ubuyu huku unachomekea