Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangazi anazidi kutupwa mbali
Atajikuta hata top10 anaikosa

Haya Kapeace
Achia picha hizoπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
Dada mzuri mwenye id yake ya upoleπŸ”₯
Shangazi hii ligi kashashindwa muda ni sisi ndo tunamrudisha mjini na maneno yetu 🀣🀣🀣
 
Nkamu
Nipe Dili hizo nirudi kariakoo nishike mahela
Unajua muda unakimbia na Mimi bado sina hela
Nisije kufa kabla sijazikamata
Mwenzio napigwa na jua nauza vijora bado shemeji yako hajaniibia pesa zangu akabetie 😹😹😹
 
Mwenzio napigwa na jua nauza vijora bado shemeji yako hajaniibia pesa zangu akabetie 😹😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila si zinarudi

Mechi za sasahivi zinatabirika
Shemeji lazima mkeka utick


We vijora vina hela
Kuna dada mmoja naona sasahivi kajikita zaidi kwenye vijora..amepunguza Kasi Kwa waturuki
Na ana hela balaa πŸ”₯πŸ”₯
 
🀣🀣🀣 Lini hiyo?
Em atupie tena nisafishe macho.!
Alijua kulimeza balaaπŸ˜‚πŸ˜‚

Ngoja tumuite arudie
Aliitoa
Nadhani aliona anakosa pumzi
Kumeza tumbo mchezoπŸ˜‚
 
Mikeka kila siku inachanika ananimalizia pesa zangu 🀣🀣🀣
Tunakoelekea nampeleka akanisaidie kuita wateja.!!

Kkoo pesa ipo kikubwa uwe na mali nzuri inayouzika walau kwa mwezi ushushe mzigo hata mara mbili..!
Wewe Nkamu rudi tupambane na wakongo πŸ˜€
 
Nipe ramani sasa Nkamu nirudi
Kwa kweli nimemiss sana Kariakooo

Huku Mbeya kumepoa kama uji wa mgonjwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…