Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nkamu
Nipe Dili hizo nirudi kariakoo nishike mahela
Unajua muda unakimbia na Mimi bado sina hela
Nisije kufa kabla sijazikamata
Mwenzio napigwa na jua nauza vijora bado shemeji yako hajaniibia pesa zangu akabetie 😹😹😹
 
Mwenzio napigwa na jua nauza vijora bado shemeji yako hajaniibia pesa zangu akabetie 😹😹😹
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ila si zinarudi

Mechi za sasahivi zinatabirika
Shemeji lazima mkeka utick

We vijora vina hela
Kuna dada mmoja naona sasahivi kajikita zaidi kwenye vijora..amepunguza Kasi Kwa waturuki
Na ana hela balaa 🔥🔥
 
Mikeka kila siku inachanika ananimalizia pesa zangu 🤣🤣🤣
Tunakoelekea nampeleka akanisaidie kuita wateja.!!

Kkoo pesa ipo kikubwa uwe na mali nzuri inayouzika walau kwa mwezi ushushe mzigo hata mara mbili..!
Wewe Nkamu rudi tupambane na wakongo 😀
 
Nipe ramani sasa Nkamu nirudi
Kwa kweli nimemiss sana Kariakooo

Huku Mbeya kumepoa kama uji wa mgonjwa
 
Back
Top Bottom