Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Halafu anajidai hayaoni maneno yetu wakati tumeanza kumpaisha kiainaShangazi hii ligi kashashindwa muda ni sisi ndo tunamrudisha mjini na maneno yetu π€£π€£π€£
Halafu haforce kubinua camera yaaniMtoto mkareee wewe kapeace huna mpinzani kabisaa.!! πΉ
Mwili umebalance huna kitambi, halafu lips π sasa awwwweh babu ataacha kuvuta kiko mbona πππ
Huyo hana mpinzani nakwambia, mi naenda na kapeace πΉπΉπΉUbaweka chap na kufuta
Sisi tutawapa ushuhuda watakaopitwa,
Namna dada ulivyoshikilia namba 1,2 na 3 zote zakoπ₯π₯π₯
π€£π€£π€£π€£ em muite aselfikeAlijua kulimeza balaaππ
Ngoja tumuite arudie
Aliitoa
Nadhani aliona anakosa pumzi
Kumeza tumbo mchezoπ
Yake majiko ya plateEeh π
Sele kamnunulia macho matatu tekno πΉπΉ
Ninayo ilee pichaπ€£π€£π€£π€£ em muite aselfike
Ninayo ilee pichaπ€£π€£π€£π€£ em muite aselfike
Mungu ampe nini Babu jamani!?Huyo hana mpinzani nakwambia, mi naenda na kapeace πΉπΉπΉ
Mtoto mlito chombo hii lazima itue kwa babu G π
Kwanza tupate goli ndio tuanze kufanya kweli.Nipe ramani sasa Nkamu nirudi
Kwa kweli nimemiss sana Kariakooo
Huku Mbeya kumepoa kama uji wa mgonjwa
Anajua vizuri sisi ndo tumemrudisha mjini basi tu kusudi zake..! π€£π€£Halafu anajidai hayaoni maneno yetu wakati tumeanza kumpaisha kiaina
Kweli NkamuKwanza tupate goli ndio tuanze kufanya kweli.
Haya njoo tuongelee pm hapa wanga wengi πΉπΉπΉ
Na hivi hana kampani sasahiviAnajua vizuri sisi ndo tumemrudisha mjini basi tu kusudi zake..! π€£π€£
Huyo hata akikimbia maini yanaonekana πΉπΉHalafu haforce kubinua camera yaani
Shepu ipo mubashara bila kuforceππΏπ₯
Kwanza id yake tu inasadifu yaliyomoHuyo hata akikimbia maini yanaonekana πΉπΉ
Hatari sana huyo kapeace ππ
π€£π€£π€£π€£ Sele anazingua sanaYake majiko ya plate
Shangazi akapikie matoki na dagaa
Sele bhana
Anashindwa kumtoa shangazi kimasomaso na hata kaiphone x kweli!
Weeeh π€£π€£π€£Ninayo ilee picha
Nikajisemea yu shangazi kafuzu aisee
Ni mwendo wa kumeza tumbo
Yupo vizuri
π€£π€£π€£ babu safari hii kajipataNinayo ilee picha
Nikajisemea yu shangazi kafuzu aisee
Ni mwendo wa kumeza tumbo
Mungu ampe nini Babu jamani!?
Pisi kali namna hii,kama imeshusshuwa Toka mbinguni moja Kwa Moja
πππ tutapigwa juju nakwambia binadamu sio wazuri.!Kweli Nkamu
Hawachelewi kuwangia mambo yakwame
Nguvu za kupigana na shangazi sinaWeeeh π€£π€£π€£
Nitumie nione nkamu
Nkamu ntakudunda π€£π€£π€£Na hivi hana kampani sasahivi
Basi shangazi ni kujiongelesha mwenyewe mwaa mwili!
Hajaree Wala nini..
Naye Sele ,hata kuja kumjibu mwenzie dah
Sele yeye ni kumCC tu shangaziπ€£π€£π€£π€£ Sele anazingua sana
Kuchezea hips tu, kuhudumia aah πΉπΉ
Sele Ifike muda aache ubahili yani anamlisha shangazi mtori wa dagaa?!! Hata 2500 ya nyama nusu hana kweli??
Bora hata babe wangu mkeka ukitick ananispoil kwa shishi food πππ