Nkamu ๐ฅ๐ฅ๐ฅTufanye yote tusiache kulaView attachment 3120441
Icho kiti si wanachokalia waheshimiwa
Hakika Mkuu, unapata gahawa unashushia na kashata wakati huo pembeni unavuta Kiko yako taratibu hivi ๐ค
Hahahaha...................Hiyo picha nilipiga Mwaka 47 nilipomtembelea rafiki yangu kwenye Ofisi yake ๐คIcho kiti si wanachokalia waheshimiwa
Shikamoo Babu
Eti kashata laini laini maini rojo rojo ๐We mzee na mahanjumant ni kama inspector Haroon babu mzee wa pamba nyepesi
Kila verse mmoja yake utasikia kashata laini laini maini rojo rojo
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃWe mzee na mahanjumant ni kama inspector Haroon babu mzee wa pamba nyepesi
Kila verse mmoja yake utasikia kashata laini laini maini rojo rojo
Juice ya tende tena๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Naaam,
Ndio maana sikai mbali na Aaliyyah
Mwendo WA kuweka order tuu ya juice ya tende
Miss you NkamuNkamu ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Kwa uzee gani ulionao jamani halafu toka nizaliwe sijawahi kukiona kiko๐Hakika Mkuu, unapata gahawa unashushia na kashata wakati huo pembeni unavuta Kiko yako taratibu hivi ๐ค
Umemtaja Mjukuu wangu Simara umefanya moyo wangu ububujike Kwa huzuni.
Ni miaka mingi tangu aseme anakwenda Mjini kuninunulia Kiko Babu yake
Ukimwona huko Mjini, mwambie Babu yake nimemkumbuka sana ๐ค
Tumekumiss Nkamu๐ฅMiss you Nkamu
Fanya utafiti basi uje kutujulisha..Mi sijui wanapikaje huwa kuna kaka ananipikia
Nkamu uliacha?๐๐๐yaani wwTumekumiss Nkamu๐ฅ
Nilivyoona tu I'd yako nikatafuta socks nivae๐
Hivi naangalia miguu yangu ilivyopauka kama kengeNkamu uliacha?๐๐๐yaani ww
Safi saanaKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
NiceKama hii[emoji116][emoji780]View attachment 1217175
Good