Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapo upate gahawa ya uvugu vugu flan hivi....

Kisha baadae Simara akuletee vitumbua
Hakika Mkuu, unapata gahawa unashushia na kashata wakati huo pembeni unavuta Kiko yako taratibu hivi 🤗

Umemtaja Mjukuu wangu Simara umefanya moyo wangu ububujike Kwa huzuni.

Ni miaka mingi tangu aseme anakwenda Mjini kuninunulia Kiko Babu yake

Ukimwona huko Mjini, mwambie Babu yake nimemkumbuka sana 🤗
 
We mzee na mahanjumant ni kama inspector Haroon babu mzee wa pamba nyepesi

Kila verse mmoja yake utasikia kashata laini laini maini rojo rojo
Eti kashata laini laini maini rojo rojo 😂

Wazee huwatoi kwenye kula

Sisi wengine hadi tumeweka alarm ya kutuamsha kula usiku 😜🙌
 
🤣🤣🤣🤣🤣

Naaam,

Ndio maana sikai mbali na Aaliyyah

Mwendo WA kuweka order tuu ya juice ya tende
Juice ya tende tena🙌

Mimi niliacha kunywa hiyo juice tangu Bibi yao aende kuwasiliana Vijana wetu huko Mjini

Juice gani unakunywa, inafanya kazi ya kuamsha vilivyo lala tu 😜
 
Hakika Mkuu, unapata gahawa unashushia na kashata wakati huo pembeni unavuta Kiko yako taratibu hivi 🤗

Umemtaja Mjukuu wangu Simara umefanya moyo wangu ububujike Kwa huzuni.

Ni miaka mingi tangu aseme anakwenda Mjini kuninunulia Kiko Babu yake

Ukimwona huko Mjini, mwambie Babu yake nimemkumbuka sana 🤗
Kwa uzee gani ulionao jamani halafu toka nizaliwe sijawahi kukiona kiko😀
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!

Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.

Safi saana
 
Back
Top Bottom