Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wakitoka akina Yakobo tunafuata sisiKabisaa nkamu mbinguni tuna viti vyetu special πΉπΉπΉ
Kutouch hips don lai, kuhudumia aaah.!! πΉπΉπΉKumCC tu
Hela kutoa aaanhhh
nakuja chapchap tuongee sawa mchumba..?Oysterbay karakana π
Angejua ile ya kitambi mmezo hadi wanaman ilimshtua sana akadhani shangazi amefunga kiroba tumboniπ€£π€£π€£π€£ Na anamuaminia kweli wanaman
Hips la shangazi linatumika ndivyo sivyoKutouch hips don lai, kuhudumia aaah.!! πΉπΉπΉ
Itakuwa TBT bana, mbona sele kasema kamtoa yupo bongo daslama πΉπΉJuzi alitupia amekaa kikoti kizuri kama mama kitulano
Ila yale mazingira mbona kama bado ya Mtukula?
Ulisema ameshasogea Tz daslam
Bongo ya Bukoba labdaItakuwa TBT bana, mbona sele kasema kamtoa yupo bongo daslama πΉπΉ
Halafu shangazi tutafutane mi nipo bonyokwa π€£
Shem ana macho makubwa km βNDUBWIβ πΉπΉπΉHiyo ni kwa mujibu wa comment za Coca..
Sasa Mimi na shem tusije pata kesi za kung'oa mtu macho
SanaChino mnafki km wanafiki wengine π€£π€£π€£
Hapana, astaafu akubali matokeo, zama zake zimeisha πΉπΉπΉBado anapambana arudi kwenye chati
Coca hata zile siti za ziada mbinguni sijui kama atapataShem ana macho makubwa km βNDUBWIβ πΉπΉπΉ
Coca nikikimkuta mbinguni namfukuzaaaa π€£
ππWifi kumbe uliselfika naomba irudiwe nikuone wii wangu mnjuri njuri ππ
Sema mbinguni tutamiss selfika, ujue kwa mujibu wa shetani selfika ni Channel ya motoni nkamu π€£π€£π€£πΉWakitoka akina Yakobo tunafuata sisi
Ngoja tuendelee kumbetiaHapana, astaafu akubali matokeo, zama zake zimeisha πΉπΉπΉ
Uje na barua ya mtendaji πΉπΉnakuja chapchap tuongee sawa mchumba..?
πΉπΉπΉ Sema kweli?!Angejua ile ya kitambi mmezo hadi wanaman ilimshtua sana akadhani shangazi amefunga kiroba tumboni
Kabisaππ
Wifi ni enzi hizo Selfika ilikuwa Selfika kweli, sahii mambo yamekuwa hayaeleweki kama mvua za dar..!!
Ngoja nikae kimya mimiπΉπΉπΉ Sema kweli?!
Nishajua why shangazi hataki kutulipa NSSF zetu, kumbe na yeye sele hamlipi πΉπΉπΉHips la shangazi linatumika ndivyo sivyo
Tuandamane shangazi apate matunzo
Ya chalamila nkamu πΉπΉπΉBongo ya Bukoba labda