for what honey..?Uje na barua ya mtendaji ๐น๐น
Chino afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini ๐น๐น๐นSana
Bora hata sisi tunaomchana shangazi waziwazi
Nishajua why shangazi hataki kutulipa NSSF zetu, kumbe na yeye sele hamlipi ๐น๐น๐น
Atabaki mlangoni anaelea mbinguni hayupo, motoni hayupo na duniani anatafutwa ๐น๐น๐นCoca hata zile siti za ziada mbinguni sijui kama atapata
Ile picha mazingira ya Bukoba kabisaYa chalamila nkamu ๐น๐น๐น
Wifi rudia bana nasubiri hapa nikuone kipenzi changu ili nijue mtoto wangu atamfanana aunt yake au bibi yake.!! ๐๐๐
Wifi ni enzi hizo Selfika ilikuwa Selfika kweli, sahii mambo yamekuwa hayaeleweki kama mvua za dar..!!
those were the better days mama mtumishi wangu..!!Kabisa
Selfika ile wakati inanza ilikuwa ya moto๐ฅ
Hadi leo naikumbuka picha uliyoselfika ya mkono mzuri
unataka kuona nini exactly wifi yangu..??Wifi rudia bana nasubiri hapa nikuone kipenzi changu ili nijue mtoto wangu atamfanana aunt yake au bibi yake.!! ๐
Sanathose were the better days mama mtumishi wangu..!!
Sidhani muda ushaisha yeye awe mzee wa baraza tusaidiane kutoa maoni hapa ๐น๐น๐นNgoja tuendelee kumbetia
Huenda akapindua meza kwa kuja kivingine
Hivi kwanza umeshaiona hiyo picha yenyewe?๐คฃChino afungwe jiwe kubwa shingoni atupwe baharini ๐น๐น๐น
Atakuja kusema yeye ni yuleyule jana leo na keshoSidhani muda ushaisha yeye awe mzee wa baraza tusaidiane kutoa maoni hapa ๐น๐น๐น
Wewe osterbay karakana unapajua ni wapi? Au panafananaje? ๐น๐น๐นfor what honey..?
enzi hizo ilikuwa unakaa kazini kwa watu huku unafikiria utakuta nini cha kufurahisha humu threadini..!!Sana
Wadau wengi sana wameshaondoka
Ule utamu wa uzi uliokuwepo haupo tena.
Mimi mpk anilipe kwanza ndio tuelewane ๐น๐นMachawa OG wa shangazi ni sisi
Kama vipi shangazi aje tuyajenge tu
Asiwe mnyonge namna hii kujisemesha mwenyewe inahuu!
Mimi mpk anilipe kwanza ndio tuelewane ๐น๐นMachawa OG wa shangazi ni sisi
Kama vipi shangazi aje tuyajenge tu
Asiwe mnyonge namna hii kujisemesha mwenyewe inahuu!
basi njoo wewe huku unyumbuni...๐Wewe osterbay karakana unapajua ni wapi? Au panafananaje? ๐น๐น๐น
Itakuwa aliona kweli coca hasemagi uongo mdogo angu ๐น๐นHivi ksliyaona kweli hayo macho?
Maana kacoca Nako ๐คฃ
Vyote wii ๐ฅฐunataka kuona nini exactly wifi yangu..??
Sawa ila kazeeka ๐น๐น๐นAtakuja kusema yeye ni yuleyule jana leo na kesho