Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Babu punguza wanga bado tunahitaji uwepo wako.
ππ Kusanya yote uyaulize yote. Sijachoma tetanus Vaccine hii mitaaUnalima nini shambaniπ
Pole my kuwa makini miba isikuchomeππ Kusanya yote uyaulize yote. Sijachoma tetanus Vaccine hii mitaa
Nitajitahidi Kwa kweli, maana bado sijaandika hata urithi πBabu punguza wanga bado tunahitaji uwepo wako.
Hili eneo Kuna baridi sana
Vijana wa hovyo nyinyi hata ugali wa usiku bado tayari mpo site
Nataka nije nikusaidie kuvuna mazao shambaniπππ Kusanya yote uyaulize yote. Sijachoma tetanus Vaccine hii mitaa
Nilimaanisha ili niingie huu Uzi lazma niwe na ganziπππPole my kuwa makini miba isikuchome
Usimuogope ntu humu bana wewe Mimi nitakutetea mmaaaa πππNilimaanisha ili niingie huu Uzi lazma niwe na ganziπππ
Nitag nione hiyo pic yako au ulifuta? πPages za mwanzo tumezijaza sisi.
Zenyewe au ushaingiza ndio unatuletea πΉπΉView attachment 3123287
Naomba matajiri mselfike namna hii, haya tuendelezw hili dubwana huku
Kapachino
Madame B
Bantu Lady
Lamomy
Poor Brain
Mad Max
Fake P
Vincenzo Jr
Mbaga Jr
πΉπΉπΉ mi staki kabeesaa babu yangu ufe na baridi, lazima nikusaidie kukuitia kina bibiBora unisaidie kuniitia
πΉπΉπΉ Ehhh ushaanza kunipachika kwa viumbe wazito!!
πΉπΉπΉHivi siku hizi baunsa wako wa kukuamulia ugomvi Lamomy anapotea potea.
Kuna Siku atakukuta umeshachezea ndoige za kutosha.
Haha sijui itakuaje
π€£π€£π€£ basi ntakutafutia miwani uone chinoTatizo umempofua chino mbele haoni zaidi yako
Koh Koh koh πΉπΉLeo hujaenda?π
πΉπΉπΉHivi watu waliofurahi
Wanajisikiaje kuona kapo yenu imerudi?
Atulipe kwanza kwa kazi tuliyomfanyia ndo tujue km bossledi au red carpet π€£π€£π€£πΉKwani siyo Bossledi sasa?π