Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😹😹😹 shangazi utamuweza??Mna furahisha sana kwani bwana si yuko nae ugomvi bado unaendelea tu
Sijui nani kamuibia huko piemuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹😹 shangazi utamuweza??Mna furahisha sana kwani bwana si yuko nae ugomvi bado unaendelea tu
Mimi nilikuwa naogopa kwenda ila nashukuru nimeenda na kurudi salama.Ila uwe na mwenyeji atakaye kuongoza tofauti na hapo uwezekano wa kurudi Tanzania ni mdogo sanaOuh hongera sana...
Nasikia Somalia currency yao ni Shillings?
Nina mpango kufika hapo, bila shaka utanipa ABCs.
Nimerudi kipenzi nashukuru Mungu kwa ulinzi wake juu yangu.Wifi bado hujarudi
Bora mana huko ukweni kwako ni balaa, mtu anajifungua huku anasikia mitutu na mabomu 😥😕Nimerudi kipenzi nashukuru Mungu kwa ulinzi wake juu yangu.
Shusha pumzi basi kwanza!Chino tupia pic nikuone nataka kusepa 😹😹
Wewe weka bana hata ukiweka ya graduu ya primary fureshiii tu 😹😹😹Shusha pumzi basi kwanza!
Nyingi ni tbt lkn
Hahaha sawa! Sina bayaWewe weka bana hata ukiweka ya graduu ya primary fureshiii tu 😹😹😹
Niliingia kupika NkamuNkamu mbona hujanishtua 😹😹
😍😍😍Hahaha sawa! Sina baya
Mpendwa🔥🔥🔥🔥
Nkamu na mimi leo nimelikalia jiko had dada kashtuka nimempa off 😹😹😹Niliingia kupika Nkamu
Si unajua stori na chakula
Hahah, haiwezekaniiiMimi nilikuwa naogopa kwenda ila nashukuru nimeenda na kurudi salama.Ila uwe na mwenyeji atakaye kuongoza tofauti na hapo uwezekano wa kurudi Tanzania ni mdogo sana
Nimedownload eh hahaha😍😍😍
Nzuri ila hii umenipiga 😹😹😹
Mimi hapa ndio dada mwenyeweNkamu na mimi leo nimelikalia jiko had dada kashtuka nimempa off 😹😹😹
Umenipiga chino 😹😹Nimedownload eh hahaha
Mi najiendekeza sina wa kunisumbua nimpikie 🤣🤣Mimi hapa ndio dada mwenyewe
Sina likizo jikoni😂😂😂😂
Hahah ntawapiga wengine ila sio wewe ujue!!Umenipiga chino 😹😹
Hivi unanichukulia me wa maporini enheee.!!
😂😂😂Mi najiendekeza sina wa kunisumbua nimpikie 🤣🤣
Kwanza nilivyo cha uvivu sasa..