Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nilikuwa naogopa kwenda ila nashukuru nimeenda na kurudi salama.Ila uwe na mwenyeji atakaye kuongoza tofauti na hapo uwezekano wa kurudi Tanzania ni mdogo sana
Hahah, haiwezekaniii

Kumbe sio mahala pa masihara kutoboa?

Na ni ilikuwa Mogadishu au kipande gani?
 
Back
Top Bottom