πΉπΉπΉ shangazi utamuweza??Mna furahisha sana kwani bwana si yuko nae ugomvi bado unaendelea tu
Mimi nilikuwa naogopa kwenda ila nashukuru nimeenda na kurudi salama.Ila uwe na mwenyeji atakaye kuongoza tofauti na hapo uwezekano wa kurudi Tanzania ni mdogo sanaOuh hongera sana...
Nasikia Somalia currency yao ni Shillings?
Nina mpango kufika hapo, bila shaka utanipa ABCs.
Nimerudi kipenzi nashukuru Mungu kwa ulinzi wake juu yangu.Wifi bado hujarudi
Bora mana huko ukweni kwako ni balaa, mtu anajifungua huku anasikia mitutu na mabomu π₯πNimerudi kipenzi nashukuru Mungu kwa ulinzi wake juu yangu.
Shusha pumzi basi kwanza!Chino tupia pic nikuone nataka kusepa πΉπΉ
Wewe weka bana hata ukiweka ya graduu ya primary fureshiii tu πΉπΉπΉShusha pumzi basi kwanza!
Nyingi ni tbt lkn
Hahaha sawa! Sina bayaWewe weka bana hata ukiweka ya graduu ya primary fureshiii tu πΉπΉπΉ
Niliingia kupika NkamuNkamu mbona hujanishtua πΉπΉ
πππHahaha sawa! Sina baya
Mpendwaπ₯π₯π₯π₯
Nkamu na mimi leo nimelikalia jiko had dada kashtuka nimempa off πΉπΉπΉNiliingia kupika Nkamu
Si unajua stori na chakula
Hahah, haiwezekaniiiMimi nilikuwa naogopa kwenda ila nashukuru nimeenda na kurudi salama.Ila uwe na mwenyeji atakaye kuongoza tofauti na hapo uwezekano wa kurudi Tanzania ni mdogo sana
Nimedownload eh hahahaπππ
Nzuri ila hii umenipiga πΉπΉπΉ
Mimi hapa ndio dada mwenyeweNkamu na mimi leo nimelikalia jiko had dada kashtuka nimempa off πΉπΉπΉ
Umenipiga chino πΉπΉNimedownload eh hahaha
Mi najiendekeza sina wa kunisumbua nimpikie π€£π€£Mimi hapa ndio dada mwenyewe
Sina likizo jikoniππππ
Hahah ntawapiga wengine ila sio wewe ujue!!Umenipiga chino πΉπΉ
Hivi unanichukulia me wa maporini enheee.!!
πππMi najiendekeza sina wa kunisumbua nimpikie π€£π€£
Kwanza nilivyo cha uvivu sasa..