Mwenye huo mkono namjua πππ
Team Capten 47Hongera sana dogo
Naona miaka hii mmeboreshewa sana Sare zenu
Mwaka 47 wakati tunapigana na Nduli Iddi Amin hatukuwa na Sare nzuri kama zenu π
Hahaha..............usiniambie ulikuwa sehemu ya kikosi cha miguu kilichotangulizwa mbeleTeam Capten 47
Pole sana, ungekuwa unatumia hiyo mboga kama jamii ya Wachina usingepata shida kumuua.Imagen nimkuta kwenye sink la chooni ameingilia wapi sijui ase hawa wadudu
Grahams De Opera Zulu man Half american Lamomy
View attachment 3176655
Ahaha huyu ata kuliwa hafaiPole sana, ungekuwa unatumia hiyo mboga kama jamii ya Wachina usingepata shida kumuua.
Ulitakiwa kumkamata na kumwandaa Supu π
Huyo alikuja kukusalimia.Imagen nimkuta kwenye sink la chooni ameingilia wapi sijui ase hawa wadudu
Grahams De Opera Zulu man Half american Lamomy
View attachment 3176655
Hahaa...kwahiyo defense yangu iwe ile singe sio, baada ya kuwa out ammo πππHahaha..............usiniambie ulikuwa sehemu ya kikosi cha miguu kilichotangulizwa mbele
Angeliwa iwapo mngemkamata kawaida.Ahaha huyu ata kuliwa hafai
Naona ulimtumaHuyo alikuja kukusalimia.
Ni naniπππ?Mwenye huo mkono namjua πππ
Mchele haumwagiki hapa jamvini hata iweje ππNi naniπππ?
ππππ₯ΆSawa vzuriMchele haumwagiki hapa jamvini hata iweje ππ
We bidada nisikupe presha bure, sikufahamu hata ....nimepasha vidole moto tu through Typing π€ππππ₯ΆSawa vzuri
πππππππSawaWe bidada nisikupe presha bure, sikufahamu hata ....nimepasha vidole moto tu through Typing π€
Chief Bogo π, kumbe na wewe mdau
Kama kuna binti wa kigoma ulimkataa, basi ndio alikuja kukuona kwa staili hiyo. πNaona ulimtuma
Ahahah wakigoma yupo now anauza mayai?Kama kuna binti wa kigoma ulimkataa, basi ndio alikuja kukuona kwa staili hiyo. π