Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahahah sasa achana na makando kando hayo 🤣Hakika, nikinywa maji namuona kwa kihifadhio cha maji, hapa nilipo kila sehemu namuona yaaan ananivuruga akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahah sasa achana na makando kando hayo 🤣Hakika, nikinywa maji namuona kwa kihifadhio cha maji, hapa nilipo kila sehemu namuona yaaan ananivuruga akili
Kumbe ule ilikuwa ni msosi wa Usiku?Ahahah mchana ndio unatakiwa kula kushiba
Korosho zipo natengenezaga juice nakunywaKumbe ule ilikuwa ni msosi wa Usiku?
Mchana na usiku lazima ule chakula cha kushiba
Hujui lile tendo la kuleta watoto Duniani, linatuhitaji Wanaume tuwe na nguvu za kutosha
Huo mchanganyiko umenikumbusha Mwaka 47 nilipokuwa nina ahadi na Bibi zenuKorosho zipo natengenezaga juice nakunywa
Nachukua korosho au karanga mbichi tende maziwa lita moja na ndizi na brend then si chuji nakunywa hii moja mzuri sana try it
Inafaa uamze kutumiaHuo mchanganyiko umenikumbusha Mwaka 47 nilipokuwa nina ahadi na Bibi zenu
Bora tumezeeka sasa 😜
Mjengo safi 🔥
Mashallah 😎 😎sumbai sikukuu sioyangu nimevamia
Leo kiuswaz pitisha kwanza wazo
Soseji,Ndiz mzuzu za kukaanga,kachori,kuku makange na juis
Au twende na pilau 😄
Wewe unajua Sasa ngoja twende nayoPilau ni very common saana
Hiyo ya juu ni very unique saana. Twende na namba moyaaa...
Unashiba kweli au???
Yeees Mimi nimekaa hapa nasubiri wito tuu na lokeshen niwahi chaaapWewe unajua Sasa ngoja twende nayo
Mkuu umeona uje uniseme humu, si ungeniambia bwana Jirani.Aisee
Huyu Jirani yangu anapenda shobo sana yaani ni yeye peke yake mtaa mzima anatumulika na mataa yake…..
View attachment 3181350
View attachment 3181351
Nakuacha mkuuUnashiba kweli au???
Haupo serious mkuu.Nakuacha mkuu
Ahhaha unataka nitoke kitambi na bado kijana mdohoHaupo serious mkuu.
Jitahidi Kula mkuuu uwe na afya achaneni na tapeli prof janabi