Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Yakufosi ivyoooWewe mpk nikupandishe presha unywe Pepsi ndo utatulia πΉπΉπΉ
Ila hiyo ngeli yako π€πΉ
Ahahaha nakufundisha ujanjaMnadhimu atakushughulikia kijana
Oh kukbe selfika kidogoNipo. Nilikuwa naingia nasoma na kutoka..ila nipo
Oh kukbe selfNipo. Nilikuwa naingia nasoma na kutoka..ila nipo
Kisukar now kitapandaWewe mpk nikupandishe presha unywe Pepsi ndo utatulia πΉπΉπΉ
Ila hiyo ngeli yako π€πΉ
Hufai kuwa jasusi.Ahahaha nakufundisha ujanja
Ahahah embu nipe namba ya bibi wa kizunguHufai kuwa jasusi.
CountrywideWivuuuuuuuu πΉπΉπΉ
Rangi ninayo aisee mazee ya mtume urithi kutoka kwa bibi
CountrywideWewe mpk nikupandishe presha unywe Pepsi ndo utatulia πΉπΉπΉ
Ila hiyo ngeli yako π€πΉ
Warembo hutaki?Ahahah embu nipe namba ya bibi wa kizungu
Hapana mimi nataka vibibiWarembo hutaki?
YupoYupo hivi?
Mie sio mgeni jijini π€£Salimia watuππ
Wapi πΉπΉYupo
Yupo busy na new baby πWapi πΉπΉ
Weeh.!! Yupi huyo em nipe ubuyu.Yupo busy na new baby π
Ujaacha tuπ€£π€£π€£π€£ nimechekaUmenogaa ππ
Shemeji aongeze mahari mtoto uko mlito awwww π₯°
Naachaje kwa mfano πΉπΉUjaacha tuπ€£π€£π€£π€£ nimecheka
Niko Single nitafitie mzungu
Bado hajamtambulisha ila anamsifia balaa, ngoja tuone hapa kama ataambulia ndoa, maana kwa Habibu penzi likitaradadi humu jf acha kabisa afu wakaachana π. kama wewe na Countrywide wambea tunasema mtaachana tuu πWeeh.!! Yupi huyo em nipe ubuyu.
Mambo ninayoyapenda πΉπΉπΉ