Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hii nikikumbuka nacheka sana hivi upo wapi dada yangu Mahondaw

Mkuu Smart911 yupo wapi Mahondaw
Bado jiti la jana nilokuchoma linakuuma chogo 😹😹

Muulize kwenye huo ugomvi kilichomkuta baada ya hapo JF ilisimama kwa muda…!!

Sasa nakutuma wewe jitahidi muite muungane uone nitakachowafanya..!! 🤣🤣
Wewe tumbo tumbo acha tabia za kina Agrey utumbo utaoza huo.!!

Mwenzio niko full charge nitakupandisha sukari utapike kiporo ulichokula 😹
 
Hivi nyie watu mko serious kweli ama mpo kwenye utani

Unajua hai-make sense eti niwe natoka na mrembo mmoja hapa, then nikamwambia huyo mrembo anitafutie mrembo mwingine niwe natoka naye.

Hivi inawezekana kweli?

Sijui lengo lenu kwenye hizi mada zenu zisizoisha humu.

Hata kama huwa tunataniana ila please naomba mniheshimu japo Kwa Umri wangu.
😀😃😃😃
 
😀😃😃😃
Naona umenikoti ili kujua kama nami nimevuka Mwaka 2024 sio 🤗

Shukrani nyingi Kwa mola wetu kuweza kunipa pumzi na nafasi nyingine, nami kuwa ni sehemu ya wachache tuliovuka Mwaka 2024 na kuingia Mwaka huu mpya wa 2025 tukiwa wenye afya na siha njema

Kama upo Mjini, njoo hapa Norasco Pub hapa Kigamboni tuendelee kusherehekea
 
Babuuu bata hilo litakuharishia kimbia chap 🙆‍♀️
 
Nakuja ndugu yangu hiyo siku nilicheka sana happy new year mkuu heshima yako mkuu
 
Babuuu bata hilo litakuharishia kimbia chap 🙆‍♀️
Hahaha..........huo utani wenu Mjukuu mnaweza kusababisha Babu yenu nipigwe mawe nikiingilia, na hivi Sina mbio itakuwa balaa 😜

Hujambo lakini?
 
Naona umenikoti ili kujua kama nami nimevuka Mwaka 2024 sio 🤗

Shukrani nyingi Kwa mola wetu kuweza kunipa pumzi na nafasi nyingine, nami kuwa ni sehemu ya wachache tuliovuka Mwaka 2024 na kuingia Mwaka huu mpya wa 2025 tukiwa wenye afya na siha njema

Kama upo Mjini, njoo hapa Norasco Pub hapa Kigamboni tuendelee kusherehekea
Kumbe familia Kabisa unakaa mtaani kwangu Kabisa mkuu
 
Hahaha..........huo utani wenu Mjukuu mnaweza kusababisha Babu yenu nipigwe mawe nikiingilia, na hivi Sina mbio itakuwa balaa 😜

Hujambo lakini?
Wala sitanii babu ndo uhalisia huo 😹

Mzima babu hapi nyu hiya 🥳
 
Wala sitanii babu ndo uhalisia huo 😹
Wewe huoni anavyojichekesha kwa wanaume wenzie, sasa ukimuuliza kilichomchekesha hapo nini km sio ushangingi tyuu.!!

Mzima babu hapi nyu hiya 🥳
Happy New year too Mjukuu

Nimefurahi kukuona tena Jukwaani

Sasa ufanye uje tuchome Mbuzi hapa nilipo 🥂
 
Duh bora nimezeeka Babu, sipatii picha miaka 20 ijayo hali itakavyokuwa 🙌

Mungu awasaidie Vijana wetu
Huzuni sana.. na walivyo hawana aibu muda wote humu wanashinda kuwatag wanaume wenzao kwenye nyuzi na kujichekesha..! 😥

Huko piem ndo balaa wanafanya vitu vya hovyo 😭😭
 
Hongera Mjukuu, hao Wanawake wa Kimanga wana hatari balaa

Ingekuwa sijazidiwa na kilevi ningekupa kisa cha hao Wanawake wa Kimanga cha Mwaka 47 😜
Ndo huyo bibi yangu kizaa mama ana vituko sana.!! 😹😹
Napenda akikaa jikoni lazima mjing’ate hapa nimeshiba ndii 😀

Nipe hiyo story babu tena ulivyolewa ndo itanoga sasa 🤣
 
Back
Top Bottom