Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado hajamtambulisha ila anamsifia balaa, ngoja tuone hapa kama ataambulia ndoa, maana kwa Habibu penzi likitaradadi humu jf acha kabisa afu wakaachana 🙁. kama wewe na Countrywide wambea tunasema mtaachana tuu 😆
Mi mmbea ila wewe shogaangu UMENISHINDA khaaaa.!! 🙌😹😹😹

Id yako ya mwanzo ipi shoo 🤣
Ila naona lile penzi limeegemea upande mmoja mbona shem sioni km naye anamaanisha, shoga yetu ndo anajieleza sana eeehh alooooo.!! 👌😹
 
🤣🤣🤣 Id yangu ndo hii hii, shoga lisije kumkuta jambo kwa mara nyingine 😫, afu second born wake ni wa penzi jipya au lile la zamani?
 
Welcome dinner
Snapchat-840813566.jpg
 
🤣🤣🤣 Id yangu ndo hii hii, shoga lisije kumkuta jambo kwa mara nyingine 😫, afu second born wake ni wa penzi jipya au lile la zamani?
😹😹😹 shoga yangu huyo sekandi boni labda atakuwa wa penzi la kale sema baba wa kambo hana usemi si muhimu anapiga free P 🤣👌

Shoga tutasutwa kabla mwaka haujapinduka eeehiyaaaa 🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️ we huogopi?? 😹
 
kabisaaa msuto unatuhusu, mie siogopi maana kusutwa ni sunna 😂😂😂
 
Kwakua wewe unahaha na Maltipo ids unadhani na wengine tuna huo muda hahaa! Mods wako makini katika kuunga ids jiulize wewe na ids zako za penso yen34 sijui ye67 !

Mikwara uchwara yako pelekea hao wifi zapo pimbbi wenzio?

Gram awe Wangu afu nikukuwadie Wewe pimbiii??? Sio Mimi huyu Tonnia ninaechanganyikiwa na mahusiano labda nhaanhaaa!
Nishakwambia leta story mpya miongozo babu hazina maajabu tushazichoka!
Bado hujasemaaa!!!

Hebu chati na picha tusipigwe ban na Uzi usifungwe weee kipinchi!/duwafu
Hii nikikumbuka nacheka sana hivi upo wapi dada yangu Mahondaw

Mkuu Smart911 yupo wapi Mahondaw
 
Back
Top Bottom