Mi mmbea ila wewe shogaangu UMENISHINDA khaaaa.!! ππΉπΉπΉBado hajamtambulisha ila anamsifia balaa, ngoja tuone hapa kama ataambulia ndoa, maana kwa Habibu penzi likitaradadi humu jf acha kabisa afu wakaachana π. kama wewe na Countrywide wambea tunasema mtaachana tuu π
π€£π€£π€£ Id yangu ndo hii hii, shoga lisije kumkuta jambo kwa mara nyingine π«, afu second born wake ni wa penzi jipya au lile la zamani?Mi mmbea ila wewe shogaangu UMENISHINDA khaaaa.!! ππΉπΉπΉ
Id yako ya mwanzo ipi shoo π€£
Ila naona lile penzi limeegemea upande mmoja mbona shem sioni km naye anamaanisha, shoga yetu ndo anajieleza sana eeehh alooooo.!! ππΉ
πΉπΉπΉ shoga yangu huyo sekandi boni labda atakuwa wa penzi la kale sema baba wa kambo hana usemi si muhimu anapiga free P π€£ππ€£π€£π€£ Id yangu ndo hii hii, shoga lisije kumkuta jambo kwa mara nyingine π«, afu second born wake ni wa penzi jipya au lile la zamani?
kabisaaa msuto unatuhusu, mie siogopi maana kusutwa ni sunna ππππΉπΉπΉ shoga yangu huyo sekandi boni labda atakuwa wa penzi la kale sema baba wa kambo hana usemi si muhimu anapiga free P π€£π
Shoga tutasutwa kabla mwaka haujapinduka eeehiyaaaa πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ we huogopi?? πΉ
Hata mi siogopi mahi, happy nyuu hiya mmbea mwenzangu π€£π€£kabisaaa msuto unatuhusu, mie siogopi maana kusutwa ni sunna πππ
Happy new year mmbea mwenzangu π€£π€£Hata mi siogopi mahi, happy nyuu hiya mmbea mwenzangu π€£π€£
Vimeiva nije kula? ππ
Na wewe uselfike bosiAsante sana embu selfika na wewe leo kidogo
Sio kila sikuNa wewe uselfike bosi
Ili iweje jiheshimu mkuunikuone kidogo tu basi
Lini mkali unatupiaSio kila siku
Siku yoyoteLini mkali unatupia
Ok harakati zinasemaje lakiniSiku yoyote
Utapata nguvu ya kubeba mizigo mikubwa kwa kiasi hiko cha chakula kijana?Welcome dinner
View attachment 3189559
Itapatikana tu kakakUtapata nguvu ya kubeba mizigo mikubwa kwa kiasi hiko cha chakula kijana?
Sawa kijana,kaza kamba.Itapatikana tu kakak
Hii nikikumbuka nacheka sana hivi upo wapi dada yangu MahondawKwakua wewe unahaha na Maltipo ids unadhani na wengine tuna huo muda hahaa! Mods wako makini katika kuunga ids jiulize wewe na ids zako za penso yen34 sijui ye67 !
Mikwara uchwara yako pelekea hao wifi zapo pimbbi wenzio?
Gram awe Wangu afu nikukuwadie Wewe pimbiii??? Sio Mimi huyu Tonnia ninaechanganyikiwa na mahusiano labda nhaanhaaa!
Nishakwambia leta story mpya miongozo babu hazina maajabu tushazichoka!
Bado hujasemaaa!!!
Hebu chati na picha tusipigwe ban na Uzi usifungwe weee kipinchi!/duwafu