Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahaha nayo ni raha tu ! Furahia maisha ni mafupi. Cheka kidogo halafu ongeza kapicha kengine.
Ha ha haa kumbe nyie ndo mnatisha watu mnaangalia makosa na si lengo la uzi.
Yani mnajipangaa
Hizo sio gaga ni mpauko tu vile sijavaa viatu
 
Nimepitia huu uzi comment moja baada ya moja.
Sikutaka kucomment hadi nilipoona mjadala kuhusu picha zinazosemekana ni mwanadada Scorpio me zikitumika kukandamiza warembo waliopost picha zao huku.

Hii ni picha aliyopost akiwa ufukweni na hapo alipoitoa hiyo picha.

Kwa ambao mlikuwa mnashobokea hizi picha huyu mdada sio mtanzania wala sio Mwafrika.
Hivo msikandie vyakwenu kwa kusifia vya kizungu/kiarabu.
Hizo ni picha alizopost Scorpio akisema ndio katoka kuniaje.

Hiyo ya miguu haina haja ya maelezo.
Na nyinginezo ni hii

Lengo la kusema haya ni kuwakumbusha nyie vijana msidanganywe na rangi utamu wa chai ni sukari.
Msitamani ngozi nyeupe na kuona uafrika ni old skuli.
Dada zangu mnaotuma picha zenu mkiwa mazingira ya Kiafrika msife moyo mpaka sasa picha zenu ni bora kuliko za huyu Mzungu.
Naendelea kufuatilia.
 
Duh mkuu wewe ni nyoko.
 
Hahahaha mfukua makaburi na umechomoa betri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…