Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Za mchana Mr mshipa
Saalaale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saalaale
Toto guu guu, paja paja.!!
Ongeza na yakoNamna hii kwa kweli uzi utanoga sana
Kisu cha ukweli
🙄🙄Mmmmh
HukuwepoNimejipa haahhahha za jana ndo og
😂😂😂 katoto kadogo.Toto guu guu, paja paja.!!
NzuriZa mchana Mr mshipa
Ha ha haa kumbe nyie ndo mnatisha watu mnaangalia makosa na si lengo la uzi.Hahahaha nayo ni raha tu ! Furahia maisha ni mafupi. Cheka kidogo halafu ongeza kapicha kengine.
Haha ipo humu mbonaOngeza na yako
Usije mkuu,nishaifuta baada ya kunichomoleaKiongozi nije pm itakwepo bado
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji849][emoji849]
Bado weweToto guu guu, paja paja.!!
Asante sana haya sasa tuma picha yako halisi sio hizo za bongo movieNdio unashtuka sahivi [emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana
Nimepitia huu uzi comment moja baada ya moja.
Sikutaka kucomment hadi nilipoona mjadala kuhusu picha zinazosemekana ni mwanadada Scorpio me zikitumika kukandamiza warembo waliopost picha zao huku.
View attachment 1219660
Hii ni picha aliyopost akiwa ufukweni na hapo alipoitoa hiyo picha.
View attachment 1219661View attachment 1219662
Kwa ambao mlikuwa mnashobokea hizi picha huyu mdada sio mtanzania wala sio Mwafrika.
Hivo msikandie vyakwenu kwa kusifia vya kizungu/kiarabu.
Hizo ni picha alizopost Scorpio akisema ndio katoka kuniaje.
View attachment 1219664View attachment 1219665
Hiyo ya miguu haina haja ya maelezo.
Na nyinginezo ni hii View attachment 1219666
Lengo la kusema haya ni kuwakumbusha nyie vijana msidanganywe na rangi utamu wa chai ni sukari.
Msitamani ngozi nyeupe na kuona uafrika ni old skuli.
Dada zangu mnaotuma picha zenu mkiwa mazingira ya Kiafrika msife moyo mpaka sasa picha zenu ni bora kuliko za huyu Mzungu.
Naendelea kufuatilia.
Haha'..!!Natamani kumhonga kilinge chote na tunguli zake zote

Hahahaha mfukua makaburi na umechomoa betri kabisa