Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Niziweke?Zipi hizo??
yangu ni OG kabisa mkuu!!sawa nmeona nadhani uyu mfukua makaburi ameiverifai yako
mzee mama huwez fanya mchakato nikawa mkweo?Kabisa jamani.
Tupende vya kwetu[emoji108]View attachment 1219707
Hahahah mkuu imeshaenda hiyo ikirudi panchaWeka tena mi sikuona
Ulisema samahani kwa kuwaridhisha.Nadhani ulivyosema ulifatilia uzi adi mwisho haikuwa kweli
Kumbe jf ni world-wideNi nini umeshangaa pakubwa hivyo??
Picha yako yenye mwanya ni mzuri kuliko huyo mzungu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama kuna watu nawaonaa
Agiza juice ya limao naja kulipaUlisema samahani kwa kuwaridhisha.
Kwa sababu waliwaka. Ila baada ya kujua ukweli ingependeza uombe radhi kwa kuukashfu uafrika na kushobokea ngozi nyeupe au sio boss?
Natamani nipige picha mguu wangu wa kizee ila mhuuuuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona umeamua kunitukana siyo??Naskia una guu la grants hebu weka tuone
Nyau weweMuolewaji Ni Mimi mwenyewe
Sakayo
Depal
mshipa
kapeace
Nimetupia fullView attachment 1219716View attachment 1219717
Ha ha haaa nikajua utauliza bei ya pochi nipate cha juu mkuuHuo mguu nimeuelewa
Nilitaka kusema kitu ila nikaona nitaitwa sio mwanaume kamili.Jana wakati tunachambwa ulinyamaza...
Sikujua kama uliona picha
Mi namuhitaji binti yakoMuolewaji Ni Mimi mwenyewe
Sakayo
Depal
mshipa
kapeace
Nimetupia fullView attachment 1219716View attachment 1219717
Teh hata pochi sijazionaHa ha haaa nikajua utauliza bei ya pochi nipate cha juu mkuu
Sie mimi yule eti ila usiwekeNiziweke?
Haha haa sawaTeh hata pochi sijaziona