Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
tupo watu wazima jiachie tuNilikuwa najaribu kama haupo nijianike basi bana kesho nayo ni siku😎🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️
tupo watu wazima jiachie tuNilikuwa najaribu kama haupo nijianike basi bana kesho nayo ni siku😎🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️
We mshenzi nimechekaaa🤣🤣 majirani wakisikia wanajua nimevushaa🙆🏽♀️Mimi nshawah kukutana nae mmoja wala nisiwe muongo yeye hachangii anaobserve
Unamfaham Dr Besigye K? au Tyson Wassira
Huyo mama ni umo
EehKwa hivi vichambo hapana aisee🤦🏽♀️
Mbona nishajiachia sana tu namrusha roho bwana chinotupo watu wazima jiachie tu
hahahahahahahaila kuna mtu kafa kaoza kwa ajili yake na haoni huo uwasira💃
sawa sawaMbona nishajiachia sana tu namrusha roho bwana chino
Yani unalilaza pekee yake.Nilikuwa najaribu kama haupo nijianike basi bana kesho nayo ni siku😎🚶🏽♀️🚶🏽♀️🚶🏽♀️
Sio kwa ubaya hatusemi hawastahili anachosema Min me ni kujiona keki wakati ni wabovu ndo tunasemea hapaila kuna mtu kafa kaoza kwa ajili yake na haoni huo uwasira💃
kitoto cha 2000
MashaalahView attachment 3672937
nimepitaaaaa
Mambo hayoo😍View attachment 3672937
nimepitaaaaa
Hatimaye nimekubahatisha. Nakwenda kulala sasa. Asante binti mwema wa Mungu 🙏🏿😘😘😘
Chino unaShida unajua! Hilo kubwa uliliona wapi🤣Yani unalilaza pekee yake.
Chino naumia
oooh hapo sawa, nimekuelewa😊 tuendelee kushow love tu mkuuSio kwa ubaya hatusemi hawastahili anachosema Min me ni kujiona keki wakati ni wabovu ndo tunasemea hapa
Pita na wewe niwahi ngalawaMambo hayoo😍
Gen z ogkitoto cha 2000
Ila ngoja nilale hapa 😍dada mkubwaMambo hayoo😍