Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
tupo watu wazima jiachie tuNilikuwa najaribu kama haupo nijianike basi bana kesho nayo ni siku๐๐ถ๐ฝโโ๏ธ๐ถ๐ฝโโ๏ธ๐ถ๐ฝโโ๏ธ
We mshenzi nimechekaaa๐คฃ๐คฃ majirani wakisikia wanajua nimevushaa๐๐ฝโโ๏ธMimi nshawah kukutana nae mmoja wala nisiwe muongo yeye hachangii anaobserve
Unamfaham Dr Besigye K? au Tyson Wassira
Huyo mama ni umo
EehKwa hivi vichambo hapana aisee๐คฆ๐ฝโโ๏ธ
Mbona nishajiachia sana tu namrusha roho bwana chinotupo watu wazima jiachie tu
hahahahahahahaila kuna mtu kafa kaoza kwa ajili yake na haoni huo uwasira๐
sawa sawaMbona nishajiachia sana tu namrusha roho bwana chino
Yani unalilaza pekee yake.Nilikuwa najaribu kama haupo nijianike basi bana kesho nayo ni siku๐๐ถ๐ฝโโ๏ธ๐ถ๐ฝโโ๏ธ๐ถ๐ฝโโ๏ธ
Sio kwa ubaya hatusemi hawastahili anachosema Min me ni kujiona keki wakati ni wabovu ndo tunasemea hapaila kuna mtu kafa kaoza kwa ajili yake na haoni huo uwasira๐
kitoto cha 2000
MashaalahView attachment 3672937
nimepitaaaaa
Mambo hayoo๐View attachment 3672937
nimepitaaaaa
Hatimaye nimekubahatisha. Nakwenda kulala sasa. Asante binti mwema wa Mungu ๐๐ฟ๐๐๐
Chino unaShida unajua! Hilo kubwa uliliona wapi๐คฃYani unalilaza pekee yake.
Chino naumia
oooh hapo sawa, nimekuelewa๐ tuendelee kushow love tu mkuuSio kwa ubaya hatusemi hawastahili anachosema Min me ni kujiona keki wakati ni wabovu ndo tunasemea hapa
Pita na wewe niwahi ngalawaMambo hayoo๐
Gen z ogkitoto cha 2000
Ila ngoja nilale hapa ๐dada mkubwaMambo hayoo๐