spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Mimi nlivojoin nkakuta watu wanabrag humu nikaamini mgonga ulimbo ni mimi peke yanguJF kila mtu ni elite pia ni successful people na handsome.
Pia kila mtu anamfikisha mwanamke kileleni na kila mtu ana visa.
JF hapa we acha tu mkuu LEGACY zipo za kutosha 😅.
Kuna jamaa mmoja Alisha wahi kuja kuomba ushauli kwamba ka-retire so anataka adondoshe mansion ya 1B ko anaomba ushauri wapi atapata kiwanja.
Nlicheka siku nzima ile thread na jamaa yuko serious nkasema yeah watu ni maDONE sana humu 😅.
Wanajuaje sasa au ndo whatsapPisi kali zimebadili I'd na wengine majina, ila almost wengi wapo humu, walio left mazima ni wachache, ila kukiwa na shengesha wana join kushuhudia mpwimbwi.
😂😂😂
Mali safi sana brown skin girlAisee unakaba mpaka penalt
Sekunde 3 baba nafuta!
Kuna mmoja huyo ukionana naye anatangaza mlilala wote! Amesababisha watu wanashindwa kutumia jf kwa amani🤣Yes kama haina umuhimu funga
Unaongea yanaishia kwenye uzi
Worth waitingAisee unakaba mpaka penalt
Sekunde 3 baba nafuta!
clean ❤🙌🏾Aisee unakaba mpaka penalt
Sekunde 3 baba nafuta!
Mmmh wee ni muongo sana. 😂😂😂Mimi nlivojoin nkakuta watu wanabrag humu nikaamini mgonga ulimbo ni mimi peke yangu
Kuna siku mwana mmoja alianzisha uzi amekwama kodi nadhani nikamchek Pm nikamsort sasa kama kuappreciate akaanzisha uzi wa kushukuru
AKANIMENTION BUIBUI NYOKA Oyaa Pm ni wanaume na wanawake wanaomba hela ndipo nlifunga Pm hadi leo
Oyyaa kuchekeshana hivi usiku sio poa! Wengine tunaheshimika tumeokoka hatuna makandokando🤣🤣🤣Mimi nlivojoin nkakuta watu wanabrag humu nikaamini mgonga ulimbo ni mimi peke yangu
Kuna siku mwana mmoja alianzisha uzi amekwama kodi nadhani nikamchek Pm nikamsort sasa kama kuappreciate akaanzisha uzi wa kushukuru
AKANIMENTION BUIBUI NYOKA Oyaa Pm ni wanaume na wanawake wanaomba hela ndipo nlifunga Pm hadi leo
Hahahaha, JF ni kama jamii tu inayo tuzunguka kila aina ya watu watakuwepo lakin naona rate ya omba omba imekuwa beyond limit.Mimi nlivojoin nkakuta watu wanabrag humu nikaamini mgonga ulimbo ni mimi peke yangu
Kuna siku mwana mmoja alianzisha uzi amekwama kodi nadhani nikamchek Pm nikamsort sasa kama kuappreciate akaanzisha uzi wa kushukuru
AKANIMENTION BUIBUI NYOKA Oyaa Pm ni wanaume na wanawake wanaomba hela ndipo nlifunga Pm hadi leo
Umeanza!Mali safi sana brown skin girl
Kujua nini? Kwani wee huwezi kubadili jina? Au I'd yako?Wanajuaje sasa au ndo whatsap
Appreciations 🙂Worth waiting
Thank uuu 🥰clean ❤🙌🏾
SawaMmmh wee ni muongo sana. 😂😂😂
Unataka uanze kutuchota sasa, aloooh.
Yani ile live kabisa naomba ela nimekwama? Duhh🤣🤣Hahahaha, JF ni kama jamii tu inayo tuzunguka kila aina ya watu watakuwepo lakin naona rate ya omba omba imekuwa beyond limit.
Kama mtu ametoka mazima atajuaje kinachoendelea ukuKujua nini? Kwani wee huwezi kubadili jina? Au I'd yako?
Wee kuna huyo anazibebea hapa anenda kusema alikupiga yeye akhuu🤣🤣Jamanii mbona picha imefutwa fastaa sana, hebu rudia tena bhana.
Yaan nachungulia tu ni shwaa, duuh.
Ko hujaizoea selfika? 😂😂😂Wee kuna huyo anazibebea hapa anenda kusema alikupiga yeye akhuu🤣🤣
Yaan hajatoka JF. ila katoka uzi wa selfika.Kama mtu ametoka mazima atajuaje kinachoendelea uku