Nakula mwewe wapi, nipo kwenye Royal V napambana na hali yangu hapa.Yaani una π« tuu huko mambelee, aloooh.
Tisha sanaa.
Ngoja ukija kg nkuhonge migebuka ndo utaelewaHaha Sijaona mbeba dagaa hapa!
πππ
Ndo nataka nipandishe picha za mambele nimdatishe cocasticHahahaha, mtu yupo cheka manondo huko.
Then anadai yupo Amsterdam ila JF bhana ππππΎ
Tangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA π ?
Hilo limeishaaaa!!Ngoja ukija kg nkuhonge migebuka ndo utaelewa
Nimeirudia hujaona?Shukrani babes, siku ingine ukiweka niite basi π
Niliweka asubuhi, na kwa ajiri yako, any time nikiweka nakutagi mwanetu.π₯°π₯°π₯°
Siku ukiweka nitag mwenetu nikuone mdogo wangu.
Thank you! ChivunduβΊοΈHamna! Kuna mtu hapa nimemkwaza?
Mimi nipo positive siku zote, siwezi ona kitu kizuri nikasema kibaya au kinyume chake. Wewe nimekuona, ni mzuri. That's all. π
Unaongeaga na The Monk Ni mtu wangu wa faida, safari za kula, kwenda gereji hadi kwa michepuko yake namsindikizaga.Mkuu wapo wanaotupiga, lakini Seran , binti kiziwi , Chica Gee ni watu halisi. Wa kutupiga wanajulikana. π
Sawa kamamaa π₯°Niliweka asubuhi, na kwa ajiri yako, any time nikiweka nakutagi mwanetu.
MtakomaπTangu nianze kuona pisi za humu sijaona mbovu au TUNAPIGWA π ?
π»Sawa kamamaa π₯°
Mkuu usimsahau mrembo wangu Mallerina na win-one .Mkuu wapo wanaotupiga, lakini Seran , binti kiziwi , Chica Gee ni watu halisi. Wa kutupiga wanajulikana. π
Nimekuona umewaka mno na hiyo Suti π₯Umejionea mama hiyo ππΎ
Nimekuona Lips nzuri, mwanamke mzuri π₯°πNimeirudia hujaona?
Ile list ya yule mywaji kumbe ilikuwa sahihi binti kiziwi ni mzuri asee 100/100Mkuu wapo wanaotupiga, lakini Seran , binti kiziwi , Chica Gee ni watu halisi. Wa kutupiga wanajulikana. π
πππ huyu Dadiii ni kweli huwa anaenda huko majuu, thou kwa sasa anaweza kuwa hapa nchini, ila ni kweli majuu huwa anafika sana tu.Kwani wewe hujagundua hilo ? ππ
ππ asante Mkuu una uhakika gani kama sipo kwenye kundi la wapigaji?Mkuu wapo wanaotupiga, lakini Seran , binti kiziwi , Chica Gee ni watu halisi. Wa kutupiga wanajulikana. π