spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Ndo naingia sasaKwani umeghairi kuingia mtumbwini jamani🫢
Kweli kabisa nakubaliana na wewe sema baadhi ya watu hawana uelewa huo ndiyo shida inapoanziaUkiwa mtu halisi, subsequently unakuwa huru, unaleta attention kwa watu halisi wenzio na unakuwa umejitendea haki kama binadamu. Kuwa halisi ni namna nyingine ya kujipenda na kujithamini.
JauAweeeee!!! Naijuaa hiyooo 😂😂😂
Babaaaiii🤣👋🏼Ndo naingia sasa
Kula migebukaJamani kwani nna matatizo gani nikila sishibi🤦🏽♀️
Naombaa uje ma mchunga, PM yangu iko wazi inasubiri conversation yako kwa hamu na wivu mkubwa.We ht pm nitakufuata usiwaze
😀😀😀😀 eeh acha nikuseme tuUmeanza kunisema 😂😂
Yani hili tumbo linataka kufika wapi kwani? Usikute mwana jf huko anasimlia watu kanimimba mimi huku napata njaa🙆🏽♀️Kula migebuka
Hebu ulale sahiii unataka kusemaje?😂Jamani kwani nna matatizo gani nikila sishibi🤦🏽♀️
Leo kwanini hulali?
Nalala sahivi maana nina hasira mnoNaombaa uje ma mchunga, PM yangu iko wazi inasubiri conversation yako kwa hamu na wivu mkubwa.
Usiniangushee.
Mama hebu twende tukafanye maombi tulale! Haya sio mambo yetu😎😀😀😀😀 eeh acha nikuseme tu
Aisee kuna watu bora ht kijana wa 15
Wakubwa ila hawana akili sijui ndo afya ya akili
Unawaza sasa hawa watu wa Jf mbona mnawapa umuhimuYani hili tumbo linataka kufika wapi kwani? Usikute mwana jf huko anasimlia watu kanimimba mimi huku napata njaa🙆🏽♀️
Yani nishakasirika leo nmekula vitu vingi halafu sasa hivi tumbo linadai🤦🏽♀️Hebu ulale sahiii unataka kusemaje?😂
Polee Mungu ana watu😀😀😀😀 eeh acha nikuseme tu
Aisee kuna watu bora ht kijana wa 15
Wakubwa ila hawana akili sijui ndo afya ya akili
Umekuja huku au umeenda kule🫢Leo nimelala mchana, sababu nilikuwa safarini usiku wa jana.
Ili niombe vzr ni mhim kutema nyongoMama hebu twende tukafanye maombi tulale! Haya sio mambo yetu😎
Clean nyeupe kama sufiIli niombe vzr ni mhim kutema nyongo
Niende mbele za Mungu clean
Ma mchunga em njoo PM kwanza, ujue nisha chachawa, mie ndio nitakupangia files vizuri, unajua hiyo kazi naiweza na naimudu.Yaani acha nisimalize