Selfika na JF: Snap it. Show it

Afadhali nimehakikisha chino hayupo, hachelewi kusema hii picha nilikuwa naye loh😂
Aiiiiiiiiiiiiiiiiriririiii 🔥🔥🔥🔥🔥

Ulipendeza sana hapo shepu kama yote.. Na rangi ya kigauni plus location awwwwwwwww!!

Pendeza sana lamama.
 
Huzitakije watu wanatukanana kisa hizi gombania goli ujue😂🫴🏾

We hayaa, vocha tena mnagawiwa wapi na hamtwambii?
Habari za mashengesha mie no,Huwa nawa enjoy tu😁

Vocha alikuwa tajeer humu anagawa vocha,,si unajua raia wakamfanyia figisu mara chambo maneno tele,,wanaume wenzie walikuwa wanamuonea wivu🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…