Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Natumia browser wala sihitaji kulog in kila siku๐Parody lako ni lipi kwanza make weee panapofuka moshi ndo unajitokezaga as Lamomy is concerned.
Whyy???????
Bty Mi hata sielewi chochote huwa naingia nakuselfika zangu nakusifia tu
Ukiona mtu anakukalia kooni ujue una kitu na anateseka sana . Iwe kwa kukutungia skendo au vinginevyoIle kamati ikikaa unafikiri inajali? Basi tu siku hizi imepoa๐
Huyo MTU nani mbona mnazunguka sanaUkiona mtu anakukalia kooni ujue una kitu na anateseka sana . Iwe kwa kukutungia skendo au vinginevyo
Ausio!!! Asante kwa taarifaNatumia browser wala sihitaji kulog in kila siku๐
Browser ya bei chee tu mini UC
View attachment 3673552
Hizo kamati ulomwambia Chica .Huyo MTU nani mbona mnazunguka sana
Hapo hata nilog out naweza baadae kuingia bila kulog in na nikasoma mada zenu๐Ausio!!! Asante kwa taarifa
Chicca ana bahati nzuri sana kamati haijawahi kukaa kwa ajili yake๐Hizo kamati ulomwambia Chica .
Aliii seremaaa seremaaaaDakika sifuri Namba 4 inapita chapppppppp . Tena naked kweriiiikweriiii
Sauwaasauwaa.Hapo hata nilog out naweza baadae kuingia bila kulog in na nikasoma mada zenu๐
Mimi niogope na nilikuwa katikati yao mpaka yakayamwagwa ya kuyamwagwa UMENISAHAU ๐น๐น๐นMmmh toka lini umeanza uoga wa kuandika mafumbo? Hebu weka samareee vizuri, kina nani hao๐คฃ๐คฃ
Fungua code nipige fundo hii Jager hapa
Mungu amsimamie na isikae kwa ajili yake!!Chicca ana bahati nzuri sana kamati haijawahi kukaa kwa ajili yake๐
Miongozo kanikuza sana siunajua yee hata umtukane vipi ukimuongelesha anakujibu kirohosafi tu Maisha mafupi haya kukaa na mavinyongo yasiyo na kichwa wala maskioMimi niogope na nilikuwa katikati yao mpaka yakayamwagwa ya kuyamwagwa UMENISAHAU ๐น๐น๐น
Wote wananijua vizuri siwaogopi..
Sema nini muungano wa wachawi haujawahi kudumu..!!
Mtoa idea ya uchonganishi hajaamini macho yake alivyokwapuliwa bwana ๐น๐น
Mimi na Antonia tupo sana ugomvi wetu ulisukwa na haukuwa wa mboo za kugombania za mafungu..
We nyau wewe!!Afadhali nimehakikisha chino hayupo, hachelewi kusema hii picha nilikuwa naye loh๐
Ana nokia 3310, anacheza game la nyoka tu.chukua simu ya mkeo upige pic ๐น
Hili toto linanivizia mnywani halitaki nione neema za allahAiiiiiiiiiiiiiiiiriririiii ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Ulipendeza sana hapo shepu kama yote.. Na rangi ya kigauni plus location awwwwwwwww!!
Pendeza sana lamama.
Na amebarikiwa sio kidogo toto black beauty mashallaaahhh lips jicho aaaaww!!Hili toto linanivizia mnywani halitaki nione neema za allah
Achana nao. Afya yako ni muhimu kipenzi..!!Miongozo kanikuza sana siunajua yee hata umtukane vipi ukimuongelesha anakujibu kirohosafi tu Maisha mafupi haya kukaa na mavinyongo yasiyo na kichwa wala maskio