spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Signo pita tusafishe machoSawa
Signo pita tusafishe machoSawa
Bado upo?Naam
Wee kuwadi wa mwendokasi naomba niwekee list ya wanaume wale Big five ambao unawafahamu humu wapo smart upstairs na kuna platinum mmoja nataka asikosekane kwenye hiyo list 😍Sawa mkuu, chagua
- Chica
- Tayana
- Lamomy
- Seran
- Felista
- Dalin
- Fake P
- Saint Anne
Ndiyo mida hii sasa.Bado upo?
Fresh vp kamandaspidernyoka mkuu za weekend ?
Mkuu wewe sio mtu wa clubs?Fresh vp kamanda
Nipo nasubiri kuelekea ziwaniMkuu wewe sio mtu wa clubs?
Yeah, kama upo close sogea Nanga apa tupate mbili tatuHii znz eeh?
Hiyo chupa ya drop.
G una shida gani na mimi?Nimemkumbuka Shunie na hii comment yake! https://www.jamiiforums.com/threads/nimemzimia-lamomy.2322544/post-53280968
JF idumu
Umechanganya madesa nini mimi na waist natoa wapi mgongo umeunganikana na kiuno😂
Wewe na kuwachota!! Hayaa🙇🏽♀️Acha uwongo wewe! Wewe una umbo namba 8.